PICHA: Sajuki shavu dodo, sasa Mungu mkubwa

OMG jamaa yuko mzuka nw ... pongezi kwa mkeo pia maana alikua nawe bega kwa bega
 
Is it all you can say!? something wrong kwenye mfumo wako wa Ubongo na utambuzi.

Matola wewe ndo una tatizo! Kwani uzuri/ukali wa mwanamke hukoma kuonekana na kusifiwa pale anapoolewa tu?
Mke wa Sajuki ni mkali na kwa namna alivyom-handle mumewe ktk kipindi hiki kigumu inamfanya awe mkali zaidi..
 
Pumba Express!!
 
attachment.php

Wastara Anamtega Sajuki asije jamaa akala tunda akadhorotisha shavu
 
Niliskiaga uyu Wastara naye alipata ajari,akakatwa mguu...ni kweli hii ishu?
 
Back
Top Bottom