Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

Mbona mika 30 kabla ndege hazijanunuliwa hicho kilimo chako kilishindikana? Kwa hiyo trilion mbili ndizo ingeleta mapinduzi ya kilimo? Kama taifa tunazo sababu nyingi tu za kuwa na ndege zetu wenyewe. Tatizo siyo kununua ndege tatizo ni usimaizi na uendeshaji wa shirika letu la ndege. Wakati Julius Nyerere anaondoka madarakani kama miaka 40 iliyopita aliacha shirika la ndege likiwa na ndege 11 na wakati huo hakukuwa na fursa mbalimbali za kibiashara na pia uchumi wetu ulikuwa mdogo sana kuliko hali ilivyo sasa. Sasa kama wakati huo tulikuwa na ndsge 11 leo hii ni kitu gani kinatuzuia tusiwe na ndege idadi kama hiyo au hata na zaidi? Kwanza ilikuwa nia aibu kubwa sana kwa taifa letu kuwa na shirika la ndege ambalo halina hata ndege moja!

..trillion 2 zilizotumika kununua ndege ni sawa na bajeti ya wizara ya kilimo kwa miaka 6.

..Na kilimo ndicho kinachoajiri watu [ 65% + ] wengi hapa Tz. Pia tumekuwa tukiambiwa ndio uti wa mgongo wa taifa letu.

..Kauli mbiu ya serikali ya awamu ya 5 na 6 ni Tanzania ya VIWANDA.

..Na viwanda hivyo vinatakiwa vitumie malighafi zinazotokana na wakulima wetu.

..Kwa msingi huo, ni lazima tukiinue kilimo chetu ili tuweze kuzalisha mazao mengi na yenye ubora wa kuweza kutumika kama malighafi ktk viwanda tunavyotarajia vitaanzishwa.

..Njia ya uhakika ya kuinua kilimo ni kuongeza bajeti inayokwenda ktk sekta hiyo kusaidia ktk huduma za ugani, utafiti wa mbegu bora, upatikanaji wa pembejeo, etc etc.

..Nchi yetu na watu wake ni masikini kwasababu serikali zetu zote hazikuwekeza vya kutosha ktk kilimo, ufugaji, na uvuvi.

..Tatizo la shirika la ndege haliko ktk usimamizi bali liko ktk changamoto na ugumu wa biashara ya usafiri wa anga. Hata tukiweka malaika kuongoza shirika letu la ndege bado tutaingia hasara.
 
Sahihi
 
Maendeleo makubwa yanayofanywa na NDUGU ZETU RWANDA.....

Badala ya kuagiza Volkswagen kutoka nje,watanzania tuanze kuziagiza kutoka RWANDA ili tuendelee kuimarisha chumi za nchi zetu.......

#KongoleMh.SSH
#SiempreUhusianoWetuNaRwanda
#SisiNiWamoja
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Nafikiri hoja yako iwe ya pili, ya kwanza kwanini kanchi kadogo kama Rwanda ambako hakana ardhi kubwa ya kilimo, hakana bandari, hakana madini na NP kama Tz kanatuzidi kimaendeleo?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Nafikiri hoja yako iwe ya pili, ya kwanza kwanini kanchi kadogo kama Rwanda ambako hakana ardhi kubwa ya kilimo, hakana bandari, hakana madini na NP kama Tz kanatuzidi kimaendeleo?
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi, look at Switzerland.
Kagame akili kubwa, rais mwingine kichwa ni Uhuru Kenyatta.
 
Unajuaje kama aliyeandika comment hiyo ni kijana, inawezekana akawa amemzidi umri huyo bi Mwenda wenu.
Mtu mzima hana majibu kama yako na huyo kijana mwenzio
Kwa maana hiyo hata mama yako mzazi nae bi Mwenda?
 
Sisi tunatuma majeshi yetu ni kama kwenda kutafuta sifa za kijinga.

Kama tunazotumia kuhusu kukomboa mataifa ya kusini mwa Afrika na nchi imeendelea kuwa hohehahe na kubaki na sifa za kijinga kuwa tuliwakomboa tu so what ?

Watanzania tungekuwa tunapigania kwenda wapi kama taifa tungekuwa hub ya uchumi wa Subsaharan Africa.

Imagine East Africa sisi ndiyo tunapopulation kubwa zaidi na tunaeneo Kubwa zaidi kuliko Rwanda, Uganda, Kenya, Burundi combined lakini sisi ndiyo the sleeping giant.

Sisi tumezungukwa na nchi nane ambazo hazina bahari maskini ya Mungu lakini bandari yetu inakimbizwa na bandari ya Lamu.

Dah nikiyatafakari haya huwa nakosa raha kabisa .
Kuna mengi ya kujifunza kutokea Rwanda. Jeshi la Rwanda limepata mafunzo na kuboreshwa hivi sasa linatumika kama chanzo cha mapato ya nchi kwa kulinda usalama kwenye sehemu zenye migogoro na pengine kutumika kwenye mapambano kama ilivyo sasa huko CAR na Mozambique.

Jamaa Pamoja na kuitwa dikteta anaongoza watu wanaojitambua wenye lengo la kuifanya nchi iwe kwenye chati za juu. Mikakati iliyonayo Rwanda kama taifa ikifanikiwa miaka kumi ijayo tutabaki midomo wazi.
 
Back
Top Bottom