Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,899
Mimi namkubali kinyama anajua uchumi sio propagandaHuyu mama simkubali lakini siwezi kutukana matusi ya nguoni. Hekima hainielekezi kufanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namkubali kinyama anajua uchumi sio propagandaHuyu mama simkubali lakini siwezi kutukana matusi ya nguoni. Hekima hainielekezi kufanya hivyo
Ushawishi.What are our strengths?..ambazo zinamfanya PK atuheshimu
Hatua kubwa ipi? Ku asseble hayo magari au? Hujui Rwanda ni LDC?Rwanda imepiga hatua kubwa sana ktk teknoloji kuliko Tanzania, shida ni nn wakati tunao mawaziri na watendaji wasomi wazuri, jamani shida ni nn?
Viongozi tunawaomba muwe wazalendo wa kweli, Igeni maendeleo yanayo fanywa na nchi jirani, acheni kujigungia, badikeni kuweni wabunifu.
watanzania tu gependa kuona maendeleo kama hayo tunayo yashudia kwa jirani zetu.wanyatiwanda, tumeshuhudia kiwanda cha simu n.k.
kwa nn tunashindwa wakati nchi yetu ina urafiki ina urafiki na mataifa yenye tecknolojia ya juu kama china n.k, tuingize tecknolojia,
Tatizo siyo ma Rais wetu...Tatizo wasomi wetu wengi wapo so abstract na elimu yao hawawezi kui translate kwenye development. Kisha wengi hawaendi huko kwa objective ya kujenga nchi kwakua wametoka kwenye background ya abject poverty na walipo wanaishi under relative poverty kwahiyo mara zote kutokana na uncertainty wapo busy kutunga miradi ambayo itawapa wao cash zaidi kama ziara zisizo na tija, wakijishighulisha lakini lengo ni kutunisha hazina zao ili waondoke kwenye poverty line...Kisha governance yetu imejaa bueracracy ya ajabu inayozidisha transaction costs...Kifupi wanapanga mipango ya kutumia seed money kwenye personal agenda kuliko kuitumia katika kuongeza ukubwa wa uchumi ili uchumi ukiongezeka na wao wafaidike...Hii ya kufaidika siyo rahisi kwa yule anayeweka misingi maana benefits huja wakati tayari wakiwa wameshaondoka kwenye nafasi zao. So unless wahakikishiwe life after office (hao viongozi) na kuwe na positive and normetive frames za monitoring and evalution, kisha penalty zisiwe na patronage, kuondoka kwenye hii statuquo will be a nightmare!..Kikwete na Magufuli ndio waliopata uongozi nchi ikiwa stable kiuchumi na ikiwa na budgetary flexibility ya kutekeleza vipaumbele vya nchi.
..Ukiangalia miradi ya Magufuli kama ujenzi wa makao makuu Dodoma, na ununuzi wa ndege, ni miradi gharama kubwa sana kwa uchumi mzima wa Tanzania.
..Unajiuliza what if badala ya kujenga maofisi na majumba ya kifahari Dodoma, angeelekeza fedha hizo kwenye sekta za zabibu, alizeti, na mifugo, hapo Dodoma, matumizi hayo yangeinua maisha ya wananchi wangapi?
..Pamoja na trillion 2 tulizotumia kununua ndege bado kila mwaka inabidi tubebe mzigo wa hasara ambayo ni billions of shillings.
..Kwa hiyo kwa Kikwete tulipata hasara kutokana na ufisadi, kwa Magufuli tulipata hasara kwa matumizi ya fedha yasiyo na busara.
Kama hapendi raia wake what do you expect?Huyo ni Rais wa nchi kuwa na adabu mkuu
Ushawishi toward who?Ushawishi.
Mkuu mpe heshima mamaWalivyopendeza utafikiri girlfriend kaegemea gari la boyfriend wake
Wewe chizi sio bure.Walivyopendeza utafikiri girlfriend kaegemea gari la boyfriend wake
Anayoyajua ni machache sana na sio ya muhimu asiyoyajua ni mengi sanaKagame anaonekana yuko vizuri kichwani kawazidi hawa jamaa wengine, hata mambo ya ndani kwetu anaweza kuwa anayafahamu vizuri tu ila anazuga kumuuliza Samia habari za alikotoka.
Inatosha ukielewa hivi.Ushawishi toward who?
Na kwenye nyanja gani?..naomba na mfano chief
SawaMimi namkubali kinyama anajua uchumi sio propaganda
Ndio uhuru mnaoutaka huu?Walivyopendeza utafikiri girlfriend kaegemea gari la boyfriend wake
Sasa Wewe jomba unasema huyo jamaa anatukana wakat Wewe unaleta ubaguzi mi nadhani bora huyo mtukanaji kuliko Wewe ulie mmbaguziWasukuma wanasingiziwa tu, CHADEMA ndiyo hawana adabu kabisa
Na ninashangaa moderators wako wapi. Hii ni zaidi ya hate speech alichokiandika.Hawa ndiyo wanachadema, hawana adabu kabisa
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais wa Rwanda Paul Kagame, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha kisasa cha magari ya Volkswagen kilichopo Kigali Special Economic Zone chenye uwezo wa kutengeneza magari aina 6 tofauti.
View attachment 1879250
Kalamu1 unauliza swali ambalo una majibu nalo.Hili jambo huwa ninaliwaza sana na kunikosesha raha.
Mwanza, au mikoa mingine ya hapa Tanzania, au hata chukulia ukanda wa mikoa tu, kwa mfano Kanda nzima ya Ziwa.
Kwa nini Rwanda iwe na uchumi mkubwa kuzidi wa eneo zima la nchi yetu?
Labda wachumi na wengine wanaweza kulieleza vyema jambo hili.
Huwa linanikera sana!
Huyo jamaa alichosomea Ni spying na ndio Maisha yake yote ameishi akifanya hivyo.Ila pia ubalozi ulioko nchi yoyote Ile kazi yake mojawapo Ni ku spy nchi nyingine kihalali(kiuchumi,kisiasa,kiusalama) na ki vyovyote vile.Kagame anaonekana yuko vizuri kichwani kawazidi hawa jamaa wengine, hata mambo ya ndani kwetu anaweza kuwa anayafahamu vizuri tu ila anazuga kumuuliza Samia habari za alikotoka.
1. Waliua viwanda ili wachuuze bidhaa zao kutoka china na India.Lakini hizi ndege ni juzi tu zimenunuliwa?
Huko nyuma je?
Nadnhani kuna umuhimu wa kulitazama hili swala kiundani zaidi sababu zake, maanake hapa ndipo panapoweza kuwa mwanzo/mwisho wa kukosa maendeleo ya haraka nchini mwetu!
Nafahamu CHADEMA wana jibu juu ya sera yao ya MAJIMBO. Lakini sera hiyo kwa bahati mbaya mimi hainivutii kabisa. Pengine nikipata somo la maana nitaelewa!
Na yote hayo yanachangiwa na udhaifu wa bunge...Kikwete na Magufuli ndio waliopata uongozi nchi ikiwa stable kiuchumi na ikiwa na budgetary flexibility ya kutekeleza vipaumbele vya nchi.
..Ukiangalia miradi ya Magufuli kama ujenzi wa makao makuu Dodoma, na ununuzi wa ndege, ni miradi gharama kubwa sana kwa uchumi mzima wa Tanzania.
..Unajiuliza what if badala ya kujenga maofisi na majumba ya kifahari Dodoma, angeelekeza fedha hizo kwenye sekta za zabibu, alizeti, na mifugo, hapo Dodoma, matumizi hayo yangeinua maisha ya wananchi wangapi?
..Pamoja na trillion 2 tulizotumia kununua ndege bado kila mwaka inabidi tubebe mzigo wa hasara ambayo ni billions of shillings.
..Kwa hiyo kwa Kikwete tulipata hasara kutokana na ufisadi, kwa Magufuli tulipata hasara kwa matumizi ya fedha yasiyo na busara.