Picha: Rais Kikwete arejea jijini Dar es Salaam

Picha: Rais Kikwete arejea jijini Dar es Salaam

Tuna safari ndefu sana kufikia kilele cha mafanikio kwa sababu ya watu kama nyinyi...halafu mna asili ya kutokubali ukweli..

Mkuu,
Wewe na nani?..........Huhitaji/huhitajiki kusemea watu wote. Be fair to other people...........Mafanikio yapi unayoyasema kwa sababu neno MAFANIKIO lina maana nyingi kulingana na mazingira...............ukweli wako upi usiokubalika.
 


​
Mcheki usoni, hajalala siku nne, kachokaaaaaaa!

Wanasema "kiguu na njia," huyu Mzaramo kaigeuza kuwa "kindege na anga"!
 
I see,,
so the guy is back huh?

Huku anayo case ya kujibu,tena kubwa sana..!
 
Mkuu,
Sasa unaanza kuongea kama watu wa kwenye vijiwe vya kahawa.
Unajua kama maelezo yako yanagongana. Hapo hapo unasema alifanya foul na kujipenyeza. Kwa maana kuwa, hakuchaguliwa na wananchi walio wengi, hapohapo tena unataka ashuke chini akawanyenyekee wananchi waliomuweka madarakani. Which is which?.

Kupopolewa kwa mawe Rais Kikwete hakumaanishi kama serikali yake ni mbovu kuliko zote tatu zilizopita. Kwa mtu ulie na fikra pana ningetumaini unalijua hilo. Rais Kikwete anapopolewa kwa sababu kuu ya msingi kuwa ameruhusu jamii kuwa huru katika maisha yao. Wananchi wamefunguliwa mlango wa kuona kwa kiwango kikubwa nini serikali inafanya na serikali iko tayari kusikia kile wananchi wanakisema, hii ni pamoja na kuhoji mwenendo wa serikali. Huu uhuru haikuwepo kipindi cha Mwalimu Nyerere, Rais Mwinyi na kidogo ulikuwepo kwa Rais Mkapa. Waulize kina Kambona, Mtei, Jenerali Ulimwengu n.k kilichowafika baada ya kuhoji utendaji wa serikali. In other word, Rais Kikwete created a monster lakini kwa manufaa ya wananchi wote na ustawi wa taifa. Kitu kinachofanyika, badhi ya watu kuanza kuutumia vibaya huo uhuru waliopewa. Cummon, Let be fair. Fairness is free.

Kwa swala la Mtwara, hilo tuko pamoja nawe kwa maana kuwa serikali imejichanganya sana na pia juhudi zake za kuingiza PR kwenye mazungumzo backfired mpaka tunapatwa na wasiwasi na kilichopo ndani ya karatasi ya mradi mzima wa gesi asilia.

propaganda za kichina china china hizo ndugu yangu kaka yako ni mafia wakisiasa kumbuka wana mtandao,kubuka fedha zilizotoka BOT (EPA) kumbuka mikataba anavyoiruhusu ya hovyo kabisa ,nakataa nitakataa mpaka siku ya kufa kwangu hakuna mtanzania alimchagua huyu alijipachika tuu
 
Ha ha haaaaaa,u madee mchana wangu uwe poa kaka,lol. AFCON kushabikia timu gani? AU kumcheki balozi wa tanzania Drogba?
 
propaganda za kichina china china hizo ndugu yangu kaka yako ni mafia wakisiasa kumbuka wana mtandao,kubuka fedha zilizotoka BOT (EPA) kumbuka mikataba anavyoiruhusu ya hovyo kabisa ,nakataa nitakataa mpaka siku ya kufa kwangu hakuna mtanzania alimchagua huyu alijipachika tuu

Mkuu,
Sina tatizo kama tukikubali kutokubaliana. Let bygones be bygones

Hilo la kivipi aliingia ni swala linalohitaji mjadala mwingine, hata wale waliopambana naye kwa sasa wanamtambua. So, it's irrelevant now kama tutabaki tunaongelea last general election.

Ndiyo. Ninakubaliana na wewe kuna mikataba ambayo inahitaji majibu lakini hiyo haiwezi kuifanya serikali iwe ni formality tu. Hivi lini neno formality kweli una maanisha maana ambayo ndiyo yake au unasema kwa lugha za mitaani. cummon brotha. Let be real.
 
Awepo asiwepo, haniongezei wala kunipunguzia chochote. Alive or dead kwangu maisha ni yale yale

Duuh mie kwangu akiwepo shida inazidi.. Maana kila saa barabara inafungwa hapa posta ya zamani ili akatize to & fro... Hatulii kule magogoni.. Tunapata raha sana anapokuwa abroad huko..
 
Tunajipendekeza kwa nani na kwa manufaa ya nani.

Swala la wakoloni na sababu zilizowafanya watutawale haliko kwenye hii mada, hata kama lingekupewa, hiyo sababu yako haina mashiko hata kidogo katika macho ya historia ya nchi kabla na wakati wa utawala wa mkoloni. Jifunze kutokwenda nje ya mada otherwise, utakuwa ni mvurugaji wa mada.



Unaniuliza mimi tena.........wewe ndiyo mpinga safari ambayo serikali imefikia uamuzi wa Rais kuhudhuria......Mwaga hapa udadavuzi wako wa kiuchumi in figure na kisiasa in analysis ili jamii ikuelewe kwa hiki unachokisema kuliko kuongea tu bila hata absolute evidence kuibeba hoja yako.

Hatuishi kwa maneno ya porojo na bashing.




Wanajipendekeza kwa rais, kwa kudhan wameyapatia maisha kwa vipesa wanavyoiba makazini na vibiashara wasivyolipia kodi, mfano wa wakoloni niliotoa hauko off pt. uko straight kwa watu kama nyie mnaotetea vitu mnavyojua kwa maslahi au msivyojua kwa unafiki,
kwa kukusaidia tu safari za rais nje zina gharama sana ikilinganishwa mfano na waziri anapowakilisha,wale watu wa protocol mambo ya nje mfano wananufaika nazo inawezekana naww ni mmoja wao na je mbona mikutano mingi anayoenda yy marais wenzake wanakua wachache au hakuna?
Logically kama umeshindwa kujua in a layman way hasara za safari za rais, economic analysis unayotaka utanisumbua kukuelezea.
 
Tatizo lako ni nini? Kuhudhuria kila mwaka, kuhudhuria kidogo au kutokuhudhuria kabisa...........hayo ni mawazo yako ndiyo maana hata hakupata 100% ya kura. it's part and parcel of your right to have unnecessary bashing.




Upe ubongo kazi yake siyo kuja na visababu vya kitoto na kurukia maswala ambayo huyajui undani wake. Tanzania has nothing to do with panic button airline (British Airways). Baada ya kusikia Virgin Airlines wataanza safari za Tanzania kwa gharama nafuu, ushuzi umewatoka na kulala mbele. Kwa ninyi mlio wavivu wa kujua sababu mbadala, mnakuja na vijisababu vya ovyo ovyo.

Kenya ni nchi nyingine, na Rais Kibaki siyo Rais Kiwete. Unataka kutuaminisha kama Kenya kila kitu ni rosy cheeks kulinganisha na Tanzania au Rais Kibaki ni 'Angel' kulinganisha na Rais Kikwete.............or your just cherry picking.
Think bigger.

Pata vidokezo kwanza.

Quote:

6 weeks after leaving Nairobi, for a number of reasons given in public none of which at the time made much sense, are news just breaking that Virgin will be flying to Dar es Salaam from early 2013, very likely in combination with a stop at Kilimanjaro. It is also understood that this time the airline got the right slots, making for perfect connections from and to the United States via London Heathrow, something which was a major problem for the flights to Nairobi which did not connect easily into the Virgin US network.
...
Virgin is an arch rival of British Airways, which is also flying to Dar es Salaam, and will very likely offer fares below the level of BA, triggering a bonzana for tourists from the US but also starting a head on collision with British Airways which will undoubtedly have to respond in kind.
...
The new route will be a major coup for Tanzania’s tourism industry, with all the associated promotional activities, as it is recalled with what creative marketing Virgin started its flights to Nairobi a few years ago, and will benefit the safari sector as well as some of the very exclusive beach resorts on Zanzibar and other islands.

Habari kwa hisani ya Airliners.net

I checked for that VIRGIN AIRLINES... INAONYESHA VIRGIN NIGERIA AIRLINES itakwenda DAR... Sorry siwezi kukubaliana na wewe kwa sasa...
 
Wanajipendekeza kwa rais, kwa kudhan wameyapatia maisha kwa vipesa wanavyoiba makazini na vibiashara wasivyolipia kodi, mfano wa wakoloni niliotoa hauko off pt. uko straight kwa watu kama nyie mnaotetea vitu mnavyojua kwa maslahi au msivyojua kwa unafiki,

Mkuu,
unaruhusiwa kuwa na maoni kwa jinsi hii, lakini unachokifanya ni postulate and generalise ambazo kwa maana nyingine zinaitwa UDAKU. Siyo kila anayekubaliana na mwenendo wa serikali ya Rais Kikwete ni fisadi na siyo kila anayeipinga serikali hiyo siyo fisadi.

kwa kukusaidia tu safari za rais nje zina gharama sana ikilinganishwa mfano na waziri anapowakilisha,wale watu wa protocol mambo ya nje mfano wananufaika nazo inawezekana naww ni mmoja wao na je mbona mikutano mingi anayoenda yy marais wenzake wanakua wachache au hakuna?
Logically kama umeshindwa kujua in a layman way hasara za safari za rais, economic analysis unayotaka utanisumbua kukuelezea.

Unachofanya hapa ni kuikimbia hoja kwa njia ya spoil and undermine kwa sababu huna jibu mbadala

Kwani nani hajui kama gharama ya safari ya kiongozi mkuu wa nchi ni kubwa ukilinganisha na waziri wake, hili hata mtoto wa darasa la nne atalijua.

Hoja hapa ni Return value (Economical and political ) ya trip ya Rais Kikwete Davos compare to waziri wake kama angeenda peke yake.

Kama huna jibu, acha mada ining'inie hewani.
 


Hayo ni mawazo yako ambayo kila kukicha hata hujitahidi kuyaboresha kwa kutumia akili uliyopewa na mwenyezi Mungu BURE.

Katika safari yake hii, wewe umeona sehemu aliyotembelea ni kwenye ofisi za FIFA peke yake. Ulitaka akutembelee wewe ndiyo ujue kama anafanya kazi ya "keneemesha NCHI".

Rais alikuwa Geneva kwa ajiri ya Mkutano wa world economic forum 2013 na katika forum kuna mambo mengi huongelewa na kufanyika kwa sababu ni kikao kinachohudhuliwa karibia na viongozi wote wa Mataifa ya Magharibi, wafanyabiashara wakubwa duniani na campaigner's groups.

Rais alihudhulia pia Mkutano wa African Union na kutoa hotuba.

Wakati mwingine tunaitumia freedom yetu vibaya na tunakuwa wepesi katika bashing and make fun of him hata kwa mambo ambayo hata mwenye mboni moja ya fikra ataona niya maana kwa Taifa.

I wish, could have a reward for Unnecessary feelings of hate and revenge to President Kiwete, by now, ungekuwa ni tajiri.

Keep it up, may be one day, you'll get it.

Safi sana kamanda. Hawa vijana wa dot.com wanapayuka payuka bila kuwa na hoja za msingi.
 
Katoka kusaini mikataba na akina Karl Peters.







Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik Muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana usiku akitokea nchini Ethiopia ambapo aluhudhuria mkutano wa Wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU) uliofanyika jijini Addis Ababa (Picha na Freddy Maro)
​

​
 
I checked for that VIRGIN AIRLINES... INAONYESHA VIRGIN NIGERIA AIRLINES itakwenda DAR... Sorry siwezi kukubaliana na wewe kwa sasa...

Yale yale niliyoyasema, Hizi unazoweka hapa ni data za kuokota kwenye dustbin za mitandaoni. Hii Airline unayosema haipo tena hapa duniani Since september 2012 na sababu ni kupata misukosuko baada ya virgin Group kuuza hisa zake ambazo zilikuwa 49%. Kilichofanyika ni management had to fire its staff 'for being disloyal'. That was it. FINITO

Your information is outdated and binned. UPDATE.
 
nadhani ifike muda akubali kuwa kuna mambo ambayo anatakiwa kudeal nayo kama kiongozi mkubwa wa nchi,suala la mtwara ni nyeti hvyo kwa busara yake angalau angeahrisha ziara zake hadi lipate ufumbuzi wa kudumu...asa c ajabu kumckia kesho kaenda afrika kusini,sina raisi mimi
 
nnguoo7-wewe naye unadhani umesema kitu? Ungekuwa wewe usingesafiri? Au ni porojo tu-tusidanganyane bwana -pengine wewe ungekuwa limbukeni zaidi
 
Back
Top Bottom