Mkumbapanya
Member
- Jan 2, 2013
- 66
- 15
Rais wetu amerejea nchini na leo anaenda mtwara kuhakikisha anamaliza suala la gesi na rasilimali za nchi!hivyo tusikilize na tuvute subira kama ilivo utamaduni wetu wa kuvumiliana na kuheshimiana!
welcome back ndugu Rais.
.......
Hayo ni mawazo yako ambayo kila kukicha hata hujitahidi kuyaboresha kwa kutumia akili uliyopewa na mwenyezi Mungu BURE.
Katika safari yake hii, wewe umeona sehemu aliyotembelea ni kwenye ofisi za FIFA peke yake. Ulitaka akutembelee wewe ndiyo ujue kama anafanya kazi ya "keneemesha NCHI".
Rais alikuwa Geneva kwa ajiri ya Mkutano wa world economic forum 2013 na katika forum kuna mambo mengi huongelewa na kufanyika kwa sababu ni kikao kinachohudhuliwa karibia na viongozi wote wa Mataifa ya Magharibi, wafanyabiashara wakubwa duniani na campaigner's groups.
Rais alihudhulia pia Mkutano wa African Union na kutoa hotuba.
Wakati mwingine tunaitumia freedom yetu vibaya na tunakuwa wepesi katika bashing and make fun of him hata kwa mambo ambayo hata mwenye mboni moja ya fikra ataona niya maana kwa Taifa.
I wish, could have a reward for Unnecessary feelings of hate and revenge to President Kiwete, by now, ungekuwa ni tajiri.
Keep it up, may be one day, you'll get it..........
Guess what... SIO KILA MWAKA Marais huudhuria WORLD ECONOMIC FORUM in GENEVA... Wa KWETU hajamiss MWAKA SIO KILA AGENDA sinaMUHUSU... anakwenda tu kumingle na kula na kubeba hiyo PerDeM...
Umemsikia KIBAKI akienda HUKO? na KENYA UCHUMI wao ni wa hali ya JUU mapaka BRITISH AIRWAYS imekatisha safari zake BONGO??? come-on... ANONGELEA BIASHARA GANI KWELI???
Mkutano wa OAU ni ULIKUWA wa KUMPONGEZA NYERERE kwa UKOMBOZI wa AFRICA na ni HOTUBA za RAis WA ZAMBIA NA SOUT AFRICA kwahiyo ilimbidi aende kujibu hizo HOTOBA hakutakiwa anajua nini kuhusu UKOMBOZi wa AFRICA???
........
Usiseme welcom back rais sema welcom ndugu waziri wa mambo ya nje au ndugu mtembezi.
Hayo ni mawazo yako ambayo kila kukicha hata hujitahidi kuyaboresha kwa kutumia akili uliyopewa na mwenyezi Mungu BURE.
Katika safari yake hii, wewe umeona sehemu aliyotembelea ni kwenye ofisi za FIFA peke yake. Ulitaka akutembelee wewe ndiyo ujue kama anafanya kazi ya "keneemesha NCHI".
Rais alikuwa Geneva kwa ajiri ya Mkutano wa world economic forum 2013 na katika forum kuna mambo mengi huongelewa na kufanyika kwa sababu ni kikao kinachohudhuliwa karibia na viongozi wote wa Mataifa ya Magharibi, wafanyabiashara wakubwa duniani na campaigner's groups.
Rais alihudhulia pia Mkutano wa African Union na kutoa hotuba.
Wakati mwingine tunaitumia freedom yetu vibaya na tunakuwa wepesi katika bashing and make fun of him hata kwa mambo ambayo hata mwenye mboni moja ya fikra ataona niya maana kwa Taifa.
I wish, could have a reward for Unnecessary feelings of hate and revenge to President Kiwete, by now, ungekuwa ni tajiri.
Keep it up, may be one day, you'll get it.
Hana uwezo wa kuongoza kwa kifupi, hata huko alikoenda kenda kukamilisha formality tu kwamba republic ya tz rais wake nae ameenda kuhudhulia hiyo mikutano.
Lakini hakuna faida yoyote kwa watz, Na kwa taarifa yako serikali ya tanzania na sysytem yote kwa ujumla viko kukamilisha formality tu kwamba jamhuri ya tz ina rais, bunge, nk. sababu hawako kwa ajili ya welfare ya wananchi, ni kwa masilahi yao wenyewe watawala misonge (mafisadi).
Embu basi uwe naaibu Kidogo yaani unampigia debe mtu asiye na chembe ya huruma kwa wananchi wake ameondoka ameachaa sakata la gesi linafukuta,na ndio zake kila kukiwa na tatizo nchini yeye anakimbia akiruka juju kwa juu toka nchi moja hadi nyingine ningefurahi kama kuna siku wananchi tutamrudisha alikotoka kiujumla hafaiRais wetu amerejea nchini na leo anaenda mtwara kuhakikisha anamaliza suala la gesi na rasilimali za nchi!hivyo tusikilize na tuvute subira kama ilivo utamaduni wetu wa kuvumiliana na kuheshimiana!
Really?. Are you serious, au unaongea ili kuongea.
Yes, hakuna serikali hapa duniani isiyokuwa na matatizo ndiyo maana wananchi wakapewa kipimio (ballot box) ili kupitisha/kuitandika serikali na neno lao.(vote).
Kama maneno yako yatasimama katika ukweli, basi hili ni tusi kubwa sana kwa jamii iliyoipa serikali yake vipindi viwili ili iwaongoze na kama siyo tusi, basi nchi imejaa mazezeta au wewe/ninyi ndiyo mazezeta msioliona hilo. Watever you frame it.
Kama hili bunge liko kwa ajiri ya kutimiza formation, wewe ulitaka bunge lipi kwa katiba hii kwa sababu unapoenda vitani, utaenda kupambana kwa kutumia siraha ulizonazo. Kwa maana kwamba, pamoja na matatizo ya katiba, kinakuwa ni kichekesho unaposema miaka 50 hakuna kilichofanyika.
Ungeniambia kimefanyika lakini kwa kiwango cha chini ningekuelewa vizuri sana lakini siyo kuja na mipasho eti the whole system is just making formality.
Acheni kujipendekeza kusikokua na tija,unajua wakoloni walitutawala kirahisi kwa sababu ya watu kama nyie kwa kufichua wapi walipo wenzao weusi na wana mipango gani,
unaijua gharama ya rais kushiriki hiyo mikutano?na unajua kwa kwa nn marais wengine huwa wanawakilishwa? Nikikuuliza economic benefit unayoita neema unaweza kunipa au riba za mikopo inayoshoot deni la taifa kwako ndo neema.
Alipwea na nani vipindi viwili huyu kajipachika hata kuingia tu kwenye kinyang"anyiro alipita huku akiwa amejeruhi watu lukuki akitumia njia ovu kabisa za kukwapua fedha benki kuu sasa anasahau na anajisahau angeshuka chini basi anyenyekee wananchi ndio kwanza anawaona maluba aende mtwara kusikiliza wananchi sio kwenda kutoa amri ,wewe uliona raisi gani kwenye nchi hii amewahi kupopotolewa mawe ni huyu peke yake ujuwe hakuwa na baraka ya wananchi