Picha: Rais Kikwete arejea jijini Dar es Salaam

Hilo tusi kubwa unalolidai kwa nguvu nitakuelekezea wewe kwa kutokuelewa hali halisi ya Tz na serikali tawala unayoitetea wewe kudhihilisha ujxnga wako, ni bora x100 taahira na zezeta kuliko mjinga, matatatizo yapo kila siku lakini siyo matatizo ya kubumba kama hayo serikali inayofanya, kwa kifupi uko wapi utawala wa sheria na uwajibikaji wa serikali ? Ukizingatia Epa, richmond, kagoda, vifo vya wananchi aka mwangosi,abduction ya dr Ulimboka nk, Huduma za jamii ziko ktk kiwango duni sana, ndo sababu nakwambia huyo baba mwanaasha aka fast jet hana uwezo wa kuongoza,

Sikushangai pale unapokosa hoja na kuanza kurusha matusi, unfortunately, watu kama ninyi huwa hata sipati shida, afterall, hunifahamu na mimi sikufahamu. Huoni hata aibu kutumia keyboard kurusha matusi kwa mtu usiyemfahamu. Mambo ya ujinga, uzezeta na taahira yanaingiaje hapa. Kama fikra zako zimekuelekeza kama siwezi kukuelewa, why waste your precious time keying word to me. Si angalau ingekuwa vizuri kama ungeyapumzisha macho yako kuangalia screen.

Matatizo hayo uliyoorodhesha kwako ni tosha kuifanya serikali ya Rais Kikwete kuwa formality kwa maana mpaka tunapoandika hapa, taasisi zote za serikali hazifanyi kazi. My day.

Jibu hoja, hapa siyo uwanja wa vijiwe vya matusi. Kama huna hoja, shove it or kick wall & die. The choice is yours. DESTINATIO.
 
Kugombea URAIS ni Kuwa na MAKUNDI kila KONA... UKIUPATA URAIS na kuanza kuwa MLAFI na URAIS kwa kuanza KUSAFIRI KWENDA NJE ya NCHI ukasahau KUNDI LILILOKUFIKISHA HAPO ULIPO na KUSAHAU Uligombea Urais kuneemesha NCHI au KUHUDHURIA vikao VYA FIFA... HAPO UMEFILISIKA KISIASA!!!!

Tehe the hèe, haaa nicheke mie.
 
Hayo ni mawazo yako ambayo kila kukicha hata hujitahidi kuyaboresha kwa kutumia akili uliyopewa na mwenyezi Mungu BURE.

Katika safari yake hii, wewe umeona sehemu aliyotembelea ni kwenye ofisi za FIFA peke yake. Ulitaka akutembelee wewe ndiyo ujue kama anafanya kazi ya "keneemesha NCHI".

Rais alikuwa Geneva kwa ajiri ya Mkutano wa world economic forum 2013 na katika forum kuna mambo mengi huongelewa na kufanyika kwa sababu ni kikao kinachohudhuliwa karibia na viongozi wote wa Mataifa ya Magharibi, wafanyabiashara wakubwa duniani na campaigner's groups.

Rais alihudhulia pia Mkutano wa African Union na kutoa hotuba.

Wakati mwingine tunaitumia freedom yetu vibaya na tunakuwa wepesi katika bashing and make fun of him hata kwa mambo ambayo hata mwenye mboni moja ya fikra ataona niya maana kwa Taifa.

I wish, could have a reward for Unnecessary feelings of hate and revenge to President Kiwete, by now, ungekuwa ni tajiri.

Keep it up, may be one day, you'll get it.

You moron, hebu twambie faida ya hizo safari ambazo hazishi, na ainisha taifa linapoteza kiasi gani cha fedha kwa kila safari, mbona marais wengine hawasafiri kiivyo au huyu wetu ni exceptional sana. Kuna umuhigani sana ukilinganisha na yanayojiri sasa hivi Tanzania ameshindwa nini kusitisha hizo good time aje kutatua migogoro inayolikumba taifa kwa sasa. Na ndo maana mnasema washauri wa rais wanampoteza wewe naye unampoteza rais wetu mpendwa.
 
Mkuu,
Hulazimishwi kunielewa na siko hapa kwa lecture. You can take it or leave as it is cha msingi usiwasemee watu wengine. Just be yourself kama ulivyopekee na keyboard yako. Nani kakwambia watu walikuwa wamefungwa. Sema wewe ndiyo umefunguka na ujumbe wako utafika na kueleweka. FINITO.

Huwezi kumchagulia rule of engagement, cha muhimu alikuwa yuko Davos na kwa bahati mbaya au nzuri, huko ndiko FIFA makao makuu yalipo. Tatizo lako, your just cherry picking utafikili hiyo ndiyo ilikuwa sababu hasa iliyompeleka Davos, Switzerland.

Maswala ya nani alimlipia nauli, malazi na chakula sina hata haja ya kukujibu. Soma Katiba ya nchi itakuelekeza wapi unaweza kupata hizo information.

Ptuuuuu
 
Sikushangai pale unapokosa hoja na kuanza kurusha matusi, unfortunately, watu kama ninyi huwa hata sipati shida, afterall, hunifahamu na mimi sikufahamu. Huoni hata aibu kutumia keyboard kurusha matusi kwa mtu usiyemfahamu. Mambo ya ujinga, uzezeta na taahira yanaingiaje hapa. Kama fikra zako zimekuelekeza kama siwezi kukuelewa, why waste your precious time keying word to me. Si angalau ingekuwa vizuri kama ungeyapumzisha macho yako kuangalia screen.

Matatizo hayo uliyoorodhesha kwako ni tosha kuifanya serikali ya Rais Kikwete kuwa formality kwa maana mpaka tunapoandika hapa, taasisi zote za serikali hazifanyi kazi. My day.

Jibu hoja, hapa siyo uwanja wa vijiwe vya matusi. Kama huna hoja, shove it or kick wall & die. The choice is yours. DESTINATIO.

quote_icon.png
By Ng'wamapalalaReally?. Are you serious, au unaongea ili kuongea.

Yes, hakuna serikali hapa duniani isiyokuwa na matatizo ndiyo maana wananchi wakapewa kipimio (ballot box) ili kupitisha/kuitandika serikali na neno lao.(vote).

Kama maneno yako yatasimama katika ukweli, basi hili ni tusi kubwa sana kwa jamii iliyoipa serikali yake vipindi viwili ili iwaongoze na kama siyo tusi, basi nchi imejaa mazezeta au wewe/ninyi ndiyo mazezeta msioliona hilo. Watever you frame it.

Kama hili bunge liko kwa ajiri ya kutimiza formation, wewe ulitaka bunge lipi kwa katiba hii kwa sababu unapoenda vitani, utaenda kupambana kwa kutumia siraha ulizonazo. Kwa maana kwamba, pamoja na matatizo ya katiba, kinakuwa ni kichekesho unaposema miaka 50 hakuna kilichofanyika.

Ungeniambia kimefanyika lakini kwa kiwango cha chini ningekuelewa vizuri sana lakini siyo kuja na mipasho eti the whole system is just making formality.

Hahaha ni ile design ya ccm isiyotaka kuambiwa ukweli,kama kweli watz tunataka maendeleo lazima kwanza tujenge tabia ya kuwa wakweli na kukiri, rejea red hapo juu "what goes around comes around" lugha uliyotumia hapo juu ndo imekujustfy, I am sorry but I dont give a damn otherwise I am gonna be a damn for my self, jibu hoja zangu za msingi kuhusu utawala wa sheria na uwajibikaji wa serikali. Rejea blue juu ,matatizo hayo ndo yanayomfanya kuwa hawezi uongozi, utatuzi wa matatizo hayo hayahitaji shule wala scotland yard, yako open, lakini ameyaatamia.
 
Hayo ni mawazo yako ambayo kila kukicha hata hujitahidi kuyaboresha kwa kutumia akili uliyopewa na mwenyezi Mungu BURE.

Katika safari yake hii, wewe umeona sehemu aliyotembelea ni kwenye ofisi za FIFA peke yake. Ulitaka akutembelee wewe ndiyo ujue kama anafanya kazi ya "keneemesha NCHI".

Rais alikuwa Geneva kwa ajiri ya Mkutano wa world economic forum 2013 na katika forum kuna mambo mengi huongelewa na kufanyika kwa sababu ni kikao kinachohudhuliwa karibia na viongozi wote wa Mataifa ya Magharibi, wafanyabiashara wakubwa duniani na campaigner's groups.

Rais alihudhulia pia Mkutano wa African Union na kutoa hotuba.

Wakati mwingine tunaitumia freedom yetu vibaya na tunakuwa wepesi katika bashing and make fun of him hata kwa mambo ambayo hata mwenye mboni moja ya fikra ataona niya maana kwa Taifa.

I wish, could have a reward for Unnecessary feelings of hate and revenge to President Kiwete, by now, ungekuwa ni tajiri.

Keep it up, may be one day, you'll get it.

utamlaumu bure huyo 007 yuko kazini kupalilia kitumbua chake kwa mkulu slaa
 
Hivi itifaki hulazimu hao viongozi wengine kwenda kumpokea hapo uwanjani kila atokapo safari (iwe ya nje ama ndani)?
Naupenda utaratibu wa Marekani. Sijawahi kuona Obama anapokelewa na mawaziri, meya wa mji na maafisa wa jeshi anaporejea Washington kutoka ziara yoyote ile nje ya nchi. Haiwahusu!
 
Hayo ni mawazo yako ambayo kila kukicha hata hujitahidi kuyaboresha kwa kutumia akili uliyopewa na mwenyezi Mungu BURE.

Katika safari yake hii, wewe umeona sehemu aliyotembelea ni kwenye ofisi za FIFA peke yake. Ulitaka akutembelee wewe ndiyo ujue kama anafanya kazi ya "keneemesha NCHI".

Rais alikuwa Geneva kwa ajiri ya Mkutano wa world economic forum 2013 na katika forum kuna mambo mengi huongelewa na kufanyika kwa sababu ni kikao kinachohudhuliwa karibia na viongozi wote wa Mataifa ya Magharibi, wafanyabiashara wakubwa duniani na campaigner's groups.

Rais alihudhulia pia Mkutano wa African Union na kutoa hotuba.

Wakati mwingine tunaitumia freedom yetu vibaya na tunakuwa wepesi katika bashing and make fun of him hata kwa mambo ambayo hata mwenye mboni moja ya fikra ataona niya maana kwa Taifa.

I wish, could have a reward for Unnecessary feelings of hate and revenge to President Kiwete, by now, ungekuwa ni tajiri.

Keep it up, may be one day, you'll get it.
Hawa jamaa ni njaa kali kama mafisi wanaotafuta mizoga ndio maana wanajaribu kila kitu kupata umaarufu, mfano ni pale lema alipofanya mkutano bila kibali, hicho ni kitendo cha kuvunja sheria na nina uhakika lema alikuwa anataka vuruigu zitokee watu wafe halafu awe maarufu kwani headlines zingesema watu wafa kwenye mkutanoi wa lema au polisi waua kwenye mkutano wa lema. hapo lile bichwa lingevimba na angesikia sifa sana wakati wananchi wanapoteza maisha
 
Kugombea URAIS ni Kuwa na MAKUNDI kila KONA... UKIUPATA URAIS na kuanza kuwa MLAFI na URAIS kwa kuanza KUSAFIRI KWENDA NJE ya NCHI ukasahau KUNDI LILILOKUFIKISHA HAPO ULIPO na KUSAHAU Uligombea Urais kuneemesha NCHI au KUHUDHURIA vikao VYA FIFA... HAPO UMEFILISIKA KISIASA!!!!
hivi wewe unafikiria kwa kutumia kiungo gani? umeona fifa tu? hivi huwezi kuandika vitu vyenye logic? poor.
 
Hivi itifaki hulazimu hao viongozi wengine kwenda kumpokea hapo uwanjani kila atokapo safari (iwe ya nje ama ndani)?

Ngalu, hawa jamaa wanatetea "kula" yao tu. Si unajua jamaa ndo kawateua? Mbaya zaidi huyo mwema hafai hata kidogo maana jeshi lake la polisi sasa limegeuka kuwa kundi la waua raia, majambazi na majangili badala ya kuwalinda raia na mali zao na yeye yupo yupo tu. Alitakiwa apigwe chini haraka iwezekanavyo lakini hatujuwi kwanini mpaka sasa ana hicho cheo.
 
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik Muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana usiku akitokea nchini Ethiopia ambapo aluhudhuria mkutano wa Wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU) uliofanyika jijini Addis Ababa (Picha na Freddy Maro)
​

​

Sawa huu ni "Mzee wa fashion show"
 
Back
Top Bottom