Hayo ni mawazo yako ambayo kila kukicha hata hujitahidi kuyaboresha kwa kutumia akili uliyopewa na mwenyezi Mungu BURE.
Katika safari yake hii, wewe umeona sehemu aliyotembelea ni kwenye ofisi za FIFA peke yake. Ulitaka akutembelee wewe ndiyo ujue kama anafanya kazi ya "keneemesha NCHI".
Rais alikuwa Geneva kwa ajiri ya Mkutano wa world economic forum 2013 na katika forum kuna mambo mengi huongelewa na kufanyika kwa sababu ni kikao kinachohudhuliwa karibia na viongozi wote wa Mataifa ya Magharibi, wafanyabiashara wakubwa duniani na campaigner's groups.
Rais alihudhulia pia Mkutano wa African Union na kutoa hotuba.
Wakati mwingine tunaitumia freedom yetu vibaya na tunakuwa wepesi katika bashing and make fun of him hata kwa mambo ambayo hata mwenye mboni moja ya fikra ataona niya maana kwa Taifa.
I wish, could have a reward for Unnecessary feelings of hate and revenge to President Kiwete, by now, ungekuwa ni tajiri.
Keep it up, may be one day, you'll get it.