Picha: Ndege Yapata Kizaazaa Huko Arusha

Picha: Ndege Yapata Kizaazaa Huko Arusha

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,788
Ndege ya kampuni ya Coastal inayofanya safari zake kutokea Dar kwenda kwenye miji na mapori karibu yote yenye airstrips hapa nchini ikiwa imebinuka huko Kiwanja cha ndege cha Arusha baada ya wahudumu wake kukosea namna ya upangaji wa mizigo ndani ya ndege hiyo na pia kutokuweka vifaa maalum vya usalama vya kuzuia kubinuka!
Hili ni tatizo la kuchanganya Uswahili na mambo ya kitaalamu!

DSC00439.JPG

DSC00456.JPG
DSC00446.JPG
DSC00449.JPG
 

Attachments

  • DSC00455.JPG
    DSC00455.JPG
    841.1 KB · Views: 603
duuh wameweka tembo na vifaru nini?
 
Mambo ya kujuana kwenye kazi hayo;wataalamu wanatoswa wanaajil know Who;***** zao wangekufa tu!
 
baada ya kunihuzunisha nimecheka sana, inamaana tembo na twiga walipangwa na kupimwa uzito kabla ya kupanda kwenye ndege ili kubalance uzito?
 
Hii ndiyo shida ya waswahili wakishazoea kazi basi wanajifanyia tu bila kuzingatia utaratibu. Walidhani hiyo ni Saibaba wanajaza tu mizigo bila kuipanga kwa utaratibu unaotakikana.
 
Unajua meno ya tembo ni mazito sana, bila shaka walitaka kuyasafirisha yote kwa wakati mmoja. Hiyo mizigo ichunguzwe inaweza pia kuwa ya Masogange.
 
Duh...na high season hii?....
Kosa dogo la kusahau kuweka Tail Stand kimesababisha yote haya...
 
Duh...na high season hii?....
Kosa dogo la kusahau kuweka Tail Stand kimesababisha yote haya...

Na weight and balance kufanywa kimazoea.......au Walii alisahau......? He he he
Habari yako binafsi.......
 
Na weight and balance kufanywa kimazoea.......au Walii alisahau......? He he he
Habari yako binafsi.......

Mimi niko gado kabisa..

Tumezoea kusikia pilot error, technical prob sasa hii itakuwa porters error....Mazoea na ile pressure ya Arusha airport mida ya saa sita ndivyo vimevimewakamata.....
 
Back
Top Bottom