OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Mimi niko gado kabisa..
Tumezoea kusikia pilot error, technical prob sasa hii itakuwa porters error....Mazoea na ile pressure ya Arusha airport mida ya saa sita ndivyo vimevimewakamata.....
Mkuu Marejesho umenena...hao watu Arusha airport wangaliwe kwa jicho la tatu
imagine heading,ndege yapata kizazaa hapo tunawaficha wahuni kwa kuitaja ndege on its own,ingewezw kuwa. ; Uzembe wa wahudumu wahatarisha usalama wa abiria na ndege Arusha...such a heading ina amsha wakubwa na kuanza kuwajibishana,kwa wanaofanya kazi mnaelewa madhara ya neno uzembe kuhusishwa na ofisi yako