Picha na Maelezo; Mkutano wa Godbless Lema Arusha

Picha na Maelezo; Mkutano wa Godbless Lema Arusha

Lema, tatua tatizo la ajira Arusha kama ulivyotoa ahadi vijana wa Arusha wengi wanashinda vijiweni pale makao mapya kwa wauza spea za magari.

Kikwete aliahidi tena ndiyo mwenye madaraka,vipi ametatua hilo tatzo.
 
mataahira yameenda kumsikiliza taahira
mwenzao

LEMA bora awe anafanya mikutano ya ndani tu, hii ya hadhara inaelekea kumshinda, mara nyingi huwa hajajipanga namna ya kuongea hivyo huishia kuropoka na kutukana viongozi wengine.
 
Mkutano wa leo kilombero arusha ni kipimo tosha kuwa lema kachokwa arusha maana ni miaka minne inaisha sasa hakuna alichowafanyia wana arusha. Mkutano hauna watu kabisa.

ccm miaka 50 amefanya nn? kama sio kuuza tembo na madini ye2
 
Ngumu kumeza lakini kwa Wana-Arusha Mhe. Lema ni Gladiator wao! Wako tayari kula matunda ya porini na mizizi lakini wamsapoti Mbunge wao...I wish CCM wangeweza kusoma alama za nyakati...Hawa watu wamepata Inspirational Leader waliomkosa kwa miongo mingi, wako tayari kufa kwa ajili yake, Hawaogopi tena mabomu wala risasi hawa... kwao Lema ni zaidi ya Che Guevara, zaidi ya Putin ...
 
Kwa hiyo nyie ni shamba? Namfaham huyu lema mini kabaang, ndio huyo ambaye ww unamzungumzia?

hahajahaha.....ifweero unsilkza mzee dhaifu hajui hata uhusiano uliopo kati ya kuongezeka kwa quantity na quality kweny economic development......!!!!!
 
Mkutano wa leo kilombero arusha ni kipimo tosha kuwa lema kachokwa arusha maana ni miaka minne inaisha sasa hakuna alichowafanyia wana arusha. Mkutano hauna watu kabisa.

kumbe watu wakiwa wengi ni kipimo cha kuchokwa.teh,teh
 
LEMA bora awe anafanya mikutano ya ndani tu, hii ya hadhara inaelekea kumshinda, mara nyingi huwa hajajipanga namna ya kuongea hivyo huishia kuropoka na kutukana viongozi wengine.

lema amepoteza mvuto kabisa arusha
 
CHADEMA Imepoteza umaarufu sana hapa Arusha, Enzi hizo pakiwa na mkutano wa CHADEMA mjini hapakaliki, shamrashamra kila mahali, Leo hata mimi sikuwa na taarifa ya mkutano huu ndio naona hapa sasa hivi.

Kha ha ha ha ha haaaaaaa! Pole sana! Umekosa kitu cha maana sana!
Siku nyingine uwe mfuatiliaji mzuri chalii anga!
 
safi sana ........na bado

cheki hao choka mbaya sura zilivyokakamaa kwa ajil ya gongo, viroba jogoo, na bange! Hapo kama ni karata bac twasema kalamba mjike ndo maana uchaguz wanashindwa!
 
Lema, tatua tatizo la ajira Arusha kama ulivyotoa ahadi vijana wa Arusha wengi wanashinda vijiweni pale makao mapya kwa wauza spea za magari.
Kama tatizo la ajira pale CHALINZE lilivotatuliwa miaka mingi iliyopita
 
Tanzania, country with Lowest IQ. By population. So, where there are many people, stupidity can be intoxicating
 
Back
Top Bottom