WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
Vijana nipo dodoma nataka picha tafadhali maana ni haki yangu kama mwana m4c.
Pipoooooooooooooooooooz!
Pipoooooooooooooooooooz!
Wekd hizo px. Nimepita hapo hamna watu, wachache sana
Amebeba nazi yenye uji wa mchele huyo
Lema amesema, Mgambo yeyote atakaye nyang'anya na kukanyaga nyanya huyo ni chizi kabla hamjamkamata na kumpeleka polisi tumieni akili......
Asante kamanda kwa maneno ya busara na jasiri hivi
Pichaaaa jamani au mnatumia mchina nyie
Miaka hamsin ukitoa miaka minne ina baki miaka mingapi na mmefanya nn?Mkutano wa leo kilombero arusha ni kipimo tosha kuwa lema kachokwa arusha maana ni miaka minne inaisha sasa hakuna alichowafanyia wana arusha. Mkutano hauna watu kabisa.
Rais wa nani?,yule rais wa ccm,nchi inakoti tu hakuna rais..Hawa wote hawajaenda sikiliza TBC1 Rais wao anahutubia?Pole zao.
mkutano umeanza na watu wanazidi kumiminika hapa uwanja wa samunge...View attachment 153916
View attachment 153917