Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,565
Zuzu hilooo
ya mama yako
Zuzu hilooo
cheki hao choka mbaya sura zilivyokakamaa kwa ajil ya gongo, viroba jogoo, na bange! Hapo kama ni karata bac twasema kalamba mjike ndo maana uchaguz wanashindwa!
Wewe punguani kweli sasa mambo ya wazazi yamekujaje.ya mama yako
Hivi wajinga huwa tunawapima vipi hasa kwenye siasa, walio tayari kupigwa mabomu ili haki ionekane imetendeka au aliye tayari kupokea sahani ya wali na kanga/kofia kisha kubadili msimamo wake!?Wajinga ndio waliwao.
ndiyo hapo panaitwa samunge au stand ya Nduruma...
Hivi wajinga huwa tunawapima vipi hasa kwenye siasa, walio tayari kupigwa mabomu ili haki ionekane imetendeka au aliye tayari kupokea sahani ya wali na kanga/kofia kisha kubadili msimamo wake!?
Tufumbuane macho tafadhali.
Unawapima pale unapoona wanachama wanachangishana mia tano mia tani zao halafu kiongozi anazikopa kwa kukigeuza chama ni saccos na anajijengea majumba ya kifahari na mwingine kwa fedha hizo hizo anawauzia magari mtumba kwa bei ya mpya.
Hapo unajuwa hao wanachama si wajinga tu, ni misukule iliyo hai.
hapo umejibu tu kiroho ngumu lakini maneno ya jamaa yamekuchoma maana yana ukwel mchungu,ila kwa vile umekula kiapo cha kuitetea ccm kwenye shida na raha huna namna pole sana aisee!