Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Lema luther king martin Godbless ze second.
Arusha imeharibika kwa sababu ya huyu lemaaa
Umati hausaidii chochote zaidi ya kuongeza watu wanaotegemea maneno matupu"
Lema mwenyewe hajui anafanya nini yaani lema vijana unaowapotosha watakuja kukuandama wewe na kizazi chako hadi cha kumi.
Vijana Jitambueni.
Check na lemadocument to prove
?
Lema luther king martin Godbless ze second.
Kilichokuleta kwenye hii thread nini? Lema atakuletea mdogo wako tena kama unabisha muulize mama yako
Kwa Arusha Lema ni baba laaoo....!!
mkutano umeanza na watu wanazidi kumiminika hapa uwanja wa samunge...
Kwa hiyo nyie ni shamba? Namfaham huyu lema mini kabaang, ndio huyo ambaye ww unamzungumzia?