Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,251
- 13,506
Tupo ukumbi wa PTA kumsikiliza mkuu wa nchi, huyo kilema baadae
Bendi ya taarabu ya mtu mmoja aka JK wa Mipasho!
Tupo ukumbi wa PTA kumsikiliza mkuu wa nchi, huyo kilema baadae
Watu wanakufa kwa mabomu, maisha yamekuwa magumu, hakuna amani, vurugu na kila aina ya shari, wawekezaj wamekimbia, arusha sio geneva of afrika tenaimeharibika kwa lipi?
hahahahahahaha hii nzur sanaBendi ya taarabu ya mtu mmoja aka JK wa Mipasho!
Nyie bakini na kichaa wenu huyo mini kabaang awahamasishe kuiba magari.wenye akili na rais waoBendi ya taarabu ya mtu mmoja aka JK wa Mipasho!
Nn umuhimu wa hii illogical commentNaibu Meya anapanda jukwaani na kulakiwa kwa shangwe kubwa!
document to proveWatu wanakufa kwa mabomu, maisha yamekuwa magumu, hakuna amani, vurugu na kila aina ya shari, wawekezaj wamekimbia, arusha sio geneva of afrika tena
haina tija kwakoHivi Lema kwanini hawaambii hao vijana wanaomshabikia wafanye nini ili wawe katika msimamo usioyumba ?
Lema nadhani anahitaji couceling ya kina kabisa maana haingii akilini kila wakati yeye na mikutano isiyo na tija!
Lema yupi? Mini kabaang?
Diwani wetu wa kata ya Kimandolu anaendelea kumwaga sera kama kawa na hakika ameapa damu ya Watanzania iliyomwagika hapa A town haitamwagika tena!
huyu kichaa wananch wanamkubali huyo mwimba taarabu aje huku apgwe maweNyie bakini na kichaa wenu huyo mini kabaang awahamasishe kuiba magari.wenye akili na rais wao
Arusha imeharibika kwa sababu ya huyu lemaaa
haina tija kwako
hahahahahahah we mwenye wvu jnyonge lema bado anatikisa ArushaAcheni kufanya kazi mkidhani chadema ikishika madaraka watawawekea fedha mifukoni mwenu.