Picha na Maelezo; Mkutano wa Godbless Lema Arusha

Picha na Maelezo; Mkutano wa Godbless Lema Arusha

Umati hausaidii chochote zaidi ya kuongeza watu wanaotegemea maneno matupu"
Lema mwenyewe hajui anafanya nini yaani lema vijana unaowapotosha watakuja kukuandama wewe na kizazi chako hadi cha kumi.

Vijana Jitambueni.
interahamwe@
 
Kwa hiyo nyie ni shamba? Namfaham huyu lema mini kabaang, ndio huyo ambaye ww unamzungumzia?

Sio kosa lako ndivyo ulivyo
ImageUploadedByJamiiForums1398450942.688637.jpg


Sent from my iPad using JamiiForums
 
CHADEMA Imepoteza umaarufu sana hapa Arusha, Enzi hizo pakiwa na mkutano wa CHADEMA mjini hapakaliki, shamrashamra kila mahali, Leo hata mimi sikuwa na taarifa ya mkutano huu ndio naona hapa sasa hivi.

Utakuwaje na taarifa za mkutano wa Lema wakati tokea mchana uko nyuma ya TV ya TBC kusubiri mkutano Bwa Chuchu pale PTA? Ukiona watu wanajitokeza kumsikiliza Mbunge wao na wanaacha kuangalia hotuba ya mkulu mwenyewe aka mwenyekiti wa chama cha mizigo ujue hapo kuna kasoro kubwa sana huko juu kwenye mamlaka.
Ulitakiwa ujiulize kunani mpaka hali inakuwa hivyo? Mie mwenyewe nikiwa mahali najiburudisha ulitokea mzozo baada ya mwenye baa kaamua kuweka TBC kusikiliza hotuba lakini kundi la WALIO WENGI likataka aondoe na kuweka Marudio ya mechi ya Premier league. Sisi tulio kuwa kundi la WACHACHE ( maana nilitaka nimsikilize Rais wangu) ikabidi tutoke nje kwenda kutazama hotuba hiyo sehemu nyingine. Ila baadae nilijilaumu bora ningeangalia ule mpira na wenzangu au kama ingewezekana wangetuunga na Arusha. Mkuu sasa anataka kumpiku Mzee Yusuph kwa mipasho.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
cheki hao choka mbaya sura zilivyokakamaa kwa ajil ya gongo, viroba jogoo, na bange! Hapo kama ni karata bac twasema kalamba mjike ndo maana uchaguz wanashindwa!
Hapo Arusha ni uchaguzi upi walishindwa katika hizi ndogo? Unajifanya kujivua akili hadi sasa umeishapigwa bao CDM 5 - CCM 0
 
Hapo Arusha ni uchaguzi upi walishindwa katika hizi ndogo? Unajifanya kujivua akili hadi sasa umeishapigwa bao CDM 5 - CCM 0

Kwa akili yako unadhani Tanzania ni Arusha tu! ya chopa 3 kata 3 umeshasahau, ya Kalenga na Chalinze unajifanya huyajui!
 
Huyu jamaa awapo Arusha ni zaidi ya Prezidaa, watu wanampenda mpaka basi. Nipo uwanja wa Samunge hapa kwny mkutano wa leo. Watu ni wengi ajabu, wapo mamia ya akina mama, vijana ndo hawasemeki kwa wingi wao. Wapo pia polisi wengi ninaokaa nao kota za polisi wamevaa kiraia na wanashangilia ile mbaya na wanatamka kumkubali sana huyu jamaa. Kingine wanahoji jamaa ujasiri na kujiamini kupita kiasi kwa Lema. Bado watu wa kutosha wanamwagika. Huyu jamaa kweli jembe la Arusha. CCM msijisumbue kumtoa Lema hapa arusha, miaka 800 hamtaweza kwa ninachokiona hapa, yani labda ccm wakomae na majimbo mengne ila si hapa Geneva, hapa hawataweza kwa jinsi huyu bwana mdogo alivyowashka wakazi wa arusha. Mashahdi wa hili ni RC, RPC na OCD, hawa wawe wakweli kuwaambia ccm wenzao hii nguvu ya Lema arusha na huu umati wa leo haujapata kutokea. Yan kama KIM JONG LI wa Arusha.

nmeipenda!
 
Mkutano unaoongozwa na mmbunge wa Arusha mjini. Unafanyka sasa huku wananchi wakiisapoti ukawa kutoka nje na kuacha ccm watengeneze katiba ya chama chao. Watu ni wengi na hakika Serikali tatu ina sapoti kubwa sana. Kwa mtizamo wa mkutano huu Cdm wanatisha. Leo wameanzisha salamu ya kunyoosha vidole vitatu juu kusapoti Serikali tatu kwa kusema peoplessssss Powerrrrrrrrrrr.

akika chadema ni nguvu ya umma!
 
Kwa akili yako unadhani Tanzania ni Arusha tu! ya chopa 3 kata 3 umeshasahau, ya Kalenga na Chalinze unajifanya huyajui!
Ndugu Topic inahusu Lema na Arusha hayo mengine yanatokea wapi?
 
Back
Top Bottom