Picha na Maelezo; Mkutano wa Godbless Lema Arusha

Picha na Maelezo; Mkutano wa Godbless Lema Arusha

haya ndo matatizo ya kutopita shule

Sawa wewe uliye soma tuambie mwalimu alituachia nchi moja na serikali moja leo tuna nchi mbili na serikali mbili.ukiwa msomi nini maana yake?

OK.nchi mbili huru zilizoungana zinaform kitu gani kimahesabu? Msomi tupe majibu
 
Usiweke picha kwanza mwigulu nchemba akiona tuuu.......utaskia mlipuko hatari
 
Diwani wetu wa kata ya Kimandolu anaendelea kumwaga sera kama kawa na hakika ameapa damu ya Watanzania iliyomwagika hapa A town haitamwagika tena!

nimeagiza fanta baridi na mishikaki kwa lengo la kukufuatilia mpaka mwisho .
 
Tangu MH LEMA alipofanikiwa kuitokomeza ccm ARUSHA , NIMEMUWEKA KATIKA KUNDI LA WATU MASHUHURI ZAIDI KATIKA NCHI HII ! HONGERA MH LEMA .
 
swala la serikali tatu ndo hapo tu kwa mara ya kwanza ntapingana na hoja ya chadema
 
Mkutano wa leo kilombero arusha ni kipimo tosha kuwa lema kachokwa arusha maana ni miaka minne inaisha sasa hakuna alichowafanyia wana arusha. Mkutano hauna watu kabisa.
 
G Lema amtegemeaye binadamu amelaaniwa sasa hao wanaomtegemea Nyerere wote wamelaaniwa wanashindwa kutegemea mawazo yao eti Nyerere
 
Mkutano wa leo kilombero arusha ni kipimo tosha kuwa lema kachokwa arusha maana ni miaka minne inaisha sasa hakuna alichowafanyia wana arusha. Mkutano hauna watu kabisa.

tuwekee picha kamanda .
 
Wekd hizo px. Nimepita hapo hamna watu, wachache sana
 
Apolinary Ni jina la majini mahaba kwa lugha ya kiganga
Hivyo sijali kama unaongea hivyo
Asante Lema ni kiboko.



Umati hausaidii chochote zaidi ya kuongeza watu wanaotegemea maneno matupu"
Lema mwenyewe hajui anafanya nini yaani lema vijana unaowapotosha watakuja kukuandama wewe na kizazi chako hadi cha kumi.

Vijana Jitambueni.
 
Anaingiza posho huyo we piga kelele tu sijui nyumbani kwako umeacha nini!
 
Back
Top Bottom