Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

IMG-20141008-WA0054.jpgIMG-20141008-WA0055.jpgIMG-20141008-WA0056.jpg
Maandamano ya chama cha Demokrasia na maendeleo jioni hii...
 
Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?

Nyani haoni ........... lake! Tokea saa 12 watu wanaingia uwanjani kuzindua katiba haramu. Hao nao hawana kazi? au wahuni wa stendi?
 
Ingekuwa mkoa mungine sawa lkn arusha!!! Si ukanda ndio tunaousema huu.
 
Kweli nyie waoga mmeamua kuandamana usiku itawasaidia nini?
 
Jamani mtawachanganya wale wa Lumumba mapema kabla ya 2015.Maana dalili iliyojionyesha leo pale Dodoma siyo nzuri hata kidogo.

Meza kuu hakuna cha Mwinyi,Mkapa,Malecela,Msuya,Sumaye n.k

Ukiacha hiyo Mabalozi nao wamemkacha Jk alafu ninyi mnakuja na haya maandamano.
 
[FONT=lucida
console]Jamani mtawachanganya wale wa Lumumba mapema kabla ya
2015.
[/FONT]Maana dalili iliyojionyesha leo pale Dodoma
siyo nzuri hata kidogo.

Meza kuu hakuna cha Mwinyi,Mkapa,Malecela,Msuya,Sumaye n.k

Ukiacha hiyo Mabalozi nao wamemkacha Jk
alafu ninyi mnakuja na haya maandamano.

Ni kweli mkuu, maana ata Jk alipokuwa anahutubia alishaomba atayarishiwe safari ya miezi kazaa.
 
Back
Top Bottom