Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

muda wa maandamano umeisha, wajipange kwa kampeni ya kupitisha katiba (referendum) tu
 
Kitchen Party Ya Mafisadi Na Majangili Wenye Magamba Imeisha Pale Dodoma, Tumeambulia Vijembe,ngonjera, Misemo Na Ngojera Za Mpoto Mnafiki

vipi kwa mliomuona mpoto leo alivaa angalau kandambili?Au kama kawaida alikuwa anapiga mihuri(peku)
 
Waooooo good naependa chama changu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa hongereni majembe wetu tuko pamoja cdm chezea weweeeeeeeeeee mabadiliko ya kweliiiiii
 
Jinsi njaa inavyodhalilisha,Mrisho mpoto;Tumbo limemtoa kwenye misingi Ukweli mpaka kwenye kuacha matumizi kichwa!!!!
 
Zile picha za LEMA zilimuonesha akiwa anapewa haki yake.

Nina mashaka na IQ yako,katika uchambuzi wa taarifa,chadema hapo Arusha kazi ya kuifuta ccm imekwisha,sasa tunaelekea manyara ,singida na Tanga
Chadema msingi
 
Jamani mtawachanganya wale wa Lumumba mapema kabla ya 2015.Maana dalili iliyojionyesha leo pale Dodoma siyo nzuri hata kidogo.

Meza kuu hakuna cha Mwinyi,Mkapa,Malecela,Msuya,Sumaye n.k

Ukiacha hiyo Mabalozi nao wamemkacha Jk alafu ninyi mnakuja na haya maandamano.

Mkuu hebu kuwa mkweli, mm nimemuona Mwinyi na Sumaye vipi jamani mnazusha mambo!?
 
Unafananisha dhifa ya kitaifa ya makabidhiano ya rasimu na hivi vimkutano vya kihuni?

Makabidhaano ya katiba ndo yakihuni kbs na ndo maana viangoz wengine marais wastaafu hawajahudhuria huo mchakato wa kukabidhi wa kihuni eti mapendekezo ya wajumbe la katiba si mapendekezo ya wananchi, naona umekalia msumar wa moto hapo nyuma
 
Sasa naamini CCM wendawazimu eti Dhifa ya kitaifa ahhhh ahhhh :A S wink::A S wink::A S wink::A S wink::A S wink:
 
CCM ndio iliwatuma wakavute bangi na kusokota nywele?
wewe kweli ni msalani kwani maana ya neno msalani ni chooni sasa naamini unajua chooni watu wanaenda kufanya nini sasa itakuwa ajabu msalani kuwa na mawazo mazuri zaidi ya kutoa mawazo na kauli chafu kama vile harufu ya msalani inavyojulikana na wengi almaarufu toilet so watanzania wenzangu tumsamehe tu kwani sio kosa lake na anatambua uwezo wake akili ndo maana akajiita msalani yaani chooni!!!!
 
Jinsi njaa inavyodhalilisha,Mrisho mpoto;Tumbo limemtoa kwenye misingi Ukweli mpaka kwenye kuacha matumizi kichwa!!!!
mjomba safari imemshinda naona ni muhimu kuturudishia nauli tu mrishoooooooo pesa si mchezo naona mjomba mjomba amekuhonga umeshindwa kuturudishia majibu kwa yale tuliyokutuma cheza na mafisadi wewe na bado tutaona wachumia tumbo wengi tu zaidi ya huyu!!!!
 
Tulia uaguliwe wewe!

Rasimu inakabidhiwa kwa Mh.Rais na ndio itakuwa katiba mpya!

Mtake msitake!
wewe mtu unayejiita jina la sehemu ya kutolea haja kubwa na ndogo!!!!yaani chooni kwa kimombo toilet!!!!!yaani akili yako ni sawa na jila lako jitathmini upya unajidhalilisha mwenyewe yumkini wewe ni disabled especially wa akili!!!
 
Nina mashaka na IQ yako,katika uchambuzi wa taarifa,chadema hapo Arusha kazi ya kuifuta ccm imekwisha,sasa tunaelekea manyara ,singida na Tanga
Chadema msingi

Hongera ndugu kwa kumpa uhalisia huyo gamba.
 
Msalani, anaonyesha ni namna gani yuko kama jina lake lilivyo!.

Hivi ccm mnaonaje mnapoona haya mambo? Mbona misalani itajaa mapema kwa ajili ya maumizi yake kuongezeka?
 
Back
Top Bottom