vijana mnaohudhuria mikutano ya arusha wengi wanakuja wameshakunywa viroba tayari.wanatembea na visu na bisibisi.wengi wao ni wale wanaochezesha kamari pale stendi ya mabasi ya mkoa.wengi ni wanapiga debe pale stendi ya Haice
Hao unaowatukana hapa NDIO WATANZANIA, Wamefikishwa hapo na hii serikali dhaifu na chakavu ya magamba. Mnajifanya hamnazo leo lakini uchaguzi ufikapo mnakuwa wadogo kama pilitoni na kuwanyenyekea hao unaowaita wahuni wawape kura,awamu hii mtaisoma namba!