Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Chezea arusha weweeeeee sms kwa magamba na ccm yao huu mpango wa serikali za mitaa ccm chaliiiiiiiiii hawati hata kitongoji kimoja aluta contunua makamanda

mkuu umeongea jambo moja la maana kabisa,MAGAMBA Yajiandae!
 
Niko kwenye uwanja wa Samunge Kilombero ambapo mkutano mkubwa wa chadema utafanyika kuanzia saa nane...Watu wanazidi kumiminika kwa wingi kuja kumsikiliza kamanda Lissu, Lema..
Makamanda tulioko Arusha tuungane kutoa Update...

View attachment 191485



Ratiba ya FUTA, DELETE KABISA CCM nitawawekea hapa.....


Hii lazima iwape watu presha mwaka huu.

Nadhani lazima waendelea kufukuzana ndani Chama chao.



Jibu: Wengi wape, lakini hiyo hainiondolei imani yangu kuwa serikali tatu ndio ilikuwa suluhisho. Sina kinyongo chochote.


Serikali mbili sawa, lakini ni muungano gani basi? Mimi binafsi najiuliza mjukuu wangu atakapokuwa anasoma historia atasomaje.

Lembeli:Serikali tatu ilikuwa suluhisho la katiba


Je hao wengi wanawezi kuwa huku nje ya Ukumbi wa Bunge la Mafisadi?
Ewe mtanzania mimi na wewe ndiyo wenye majibu.
 
Mkutano wa Arusha leo umekwenda viziri sana nanimeupenda sana kamanda crash safi sana. Tutaelewana tuu
 
Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?

Je? walioingia Dodoma saa 12 asubuhi hawakuwa na kazi yoyote ya kufanya?
 
Katiba ya WASANII wa Bongo Movies haiwezi kutumika kuongoza nchi, Katiba ya Wananchi lazima ipatikane, hatujali how long it will take us to get there, or how much it will cost us to get there. People's Power must prevail.
 
Na ww kumbe ni mwehu. Nani amekwambia kufanya mkutano Arusha haiwezekani? Kumbuka kuwa CCM inaongoza Tanzania nzima, sio Arusha tu!

Ila ya maccm lazima tuvae sare mpya na kupewa pesa kwa kubebwa kwa malori na mafuso
 
Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?

wahuni wamesafirishwa wako jamhuri stadium kule dodoma
 
Futa magamba kabisa hayo
 

Attachments

  • 1412786012954.jpg
    1412786012954.jpg
    64.5 KB · Views: 222
Back
Top Bottom