Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Jinsi njaa inavyodhalilisha,Mrisho mpoto;Tumbo limemtoa kwenye misingi Ukweli mpaka kwenye kuacha matumizi kichwa!!!!
Njaa, hasa ile ya nafaka ni hatari sana ! Hivi Mpoto ni wa kupewa wali kitumbo ndondo na Fanta take away kweli ?
 
Unafananisha dhifa ya kitaifa ya makabidhiano ya rasimu na hivi vimkutano vya kihuni?

Acha kulinganisha dhifa za taifa na za CCM. kwanza umati uliokuwepo hapo ni mkubwa kuliko ule uliokuwepo Dodoma. Na hao watu wameenda pale bila kuwepo hata kikundi kimoja cha burudani na majumbani kwao wamezira kuangalia hata TV yanayojiri Dodoma.
 
wa dodoma wamepelekwa usafiri,pilau bwere ree peleka tumbo na macho 2 wametolew tz si wana dom hao.,,mabas yamewasombaje huku dar?
 
Niko kwenye uwanja wa Samunge Kilombero ambapo mkutano mkubwa wa chadema utafanyika kuanzia saa nane...Watu wanazidi kumiminika kwa wingi kuja kumsikiliza kamanda Lissu, Lema..
Makamanda tulioko Arusha tuungane kutoa Update...
View attachment 191484
View attachment 191485
View attachment 191486
View attachment 191487
View attachment 191488
View attachment 191489Ratiba ya FUTA, DELETE KABISA CCM nitawawekea hapa.....

duh ni nyomi Mapambano mbele mpaka TZ yote itakuwa hivi haswa pwani ndo ngome ya misukule ya riz ,babake na ukoo wa magamba
 
North to Sourth huwaga mpango wa kweli! Katiba ya dodoma ni expenditure ya pesa tuu bhaas
 
waende kigoma/rukwa/sumbawanga wakafanye hivyo :hail: wakiweza mi najiunga nao
 
waende kigoma/rukwa/sumbawanga wakafanye hivyo :hail: wakiweza mi najiunga nao

Hiyo nikoauliyoitaja bado iko nyuma kimaendeleo, tarehe zikufika na wenyewe watafunguka tu, kaskazini tuko mbele sana, tumeerevuka ndo maama hatundanganywi na peremende.
 
Yaliyojiri jana yamewaumiza sana magamba, yameona wivu Arusha wamejitmbua, mbaya zaidi hawakuwa na muda wa kuangalia makabidhiano ya kitabu chao cha chakubanga kule Dodoma. Mkutano wa pili ulikuwa ufanyike leo Arusha maeneo ya elerai polisi wameyasitisha bila kutoa sababu za msingi. Dose imewaingia bado wanapepesuka. M4C FUTA DELETE KABISA CCM ARUSHA.
 
Back
Top Bottom