Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Tulia uaguliwe wewe!

Rasimu inakabidhiwa kwa Mh.Rais na ndio itakuwa katiba mpya!

Mtake msitake!

Katiba iliyopendekezwa na joka la kuzimu. Waliandikiwa shimoni kuzimu ili mashetani yaliyovaa sura za binadamu yaendelee kutawala Tanzania, tumeshawajua sie wenye macho ya rohoni.
 
Kwahiyo nyie kila kitu mnajilinganisha na CCM?

Chama cha Majoka, yalidundwa mbinguni yakatupwa chini, yakaamua kuvaa miili kama wanadamu, wanavaa suti kama wanadamu, wanagombea uongozi kama wanadamu.

Yesu aliwang'amua majoka (mashetani) yaliyovaa sura za wanadamu akawaambia ninyi ni majoka uzao wa majoka (Mathayo 23:33)
 
Haya yaliongelewa na kikwete kwamba ushindi wa kupitana kura chache unanoga sana kuliko kupitana kura nyingi! kweli hapo nimekubali CHADEMA mnaonyenya upinzani wa kweli Arusha, tuachane na mambo ya kura za kishindo! penye ushindani kuna ufanisi wa hali ya juu!
 
Haki ya nani CCM wakiona hii nyomi lazima wachezee daftari la kuandikisha wapiga kura.... au waweke vigezo ambavyo vitawapunguzia watu wengi sifa wakati wa kupiga kura!
 
Njaa, hasa ile ya nafaka ni hatari sana ! Hivi Mpoto ni wa kupewa wali kitumbo ndondo na Fanta take away kweli ?

Yule jamaa nilikua nakubali sana kaz zake lakn alipoanza kutumikatu namuona kichefuchefu ameanza kupoteza mashabiki labda aungane na yule jamaa aliyetishia kuingia msituni bonge nyanya.
 
Haki ya nani CCM wakiona hii nyomi lazima wachezee daftari la kuandikisha wapiga kura.... au waweke vigezo ambavyo vitawapunguzia watu wengi sifa wakati wa kupiga kura!

Safari hii tuna wakaba hawa wahuni mpaka kimvuli...
 
Back
Top Bottom