Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Niko kwenye uwanja wa
Samunge Kilombero ambapo mkutano mkubwa wa chadema utafanyika kuanzia
saa nane...Watu wanazidi kumiminika kwa wingi kuja kumsikiliza kamanda
Lisu, Lema..
Makamanda tulioko Arusha tuungane kutoa Update...
Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?

walioko dododma nao hawana kazi?
~umepagawa?
Nakufuatilia kwa makini sana kamanda , usituache solemba kama alivyotufanyia kamanda Tweve juzi kule makambako .Niko kwenye uwanja wa Samunge Kilombero ambapo mkutano mkubwa wa chadema utafanyika kuanzia saa nane...Watu wanazidi kumiminika kwa wingi kuja kumsikiliza kamanda Lissu, Lema..