umesahau na wale mnaowabeba kwenye maroli kutoka mikoani kuja DODOMA kwenye sherehe ya KIGODORO cha Mr. SIX kuzindua KITABU cha CCM. Mtumwa wenu SHIBUDA kakodi mabasi ma3 KAWAJAZA WAKULIMA WAKE kawaleta wote DODOMA kwa ufadhili wa TEAM SIX.Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?
huna habari weyee.. Huyo ni mke wa mzee sixww akil zak ziko kiunon kama nyege za kigol
mnakabidhiana kitabu cha abunuwasi...dodoma ndio kila kitu leo, katiba inayopendekezwa kukabidhiwa kwa mh rais kikwete..
MSALANI, Nduguyangu kama uko Nyumbani angalia TBC1. Leo Mh Rais anakabidhiwa Katiba inayopendekezwa.
Achana na hao Wahuni wa Arusha, watakupotezea muda.
Niko kwenye uwanja wa Samunge Kilombero ambapo mkutano mkubwa wa chadema utafanyika kuanzia saa nane...Watu wanazidi kumiminika kwa wingi kuja kumsikiliza kamanda Lissu, Lema..
Makamanda tulioko Arusha tuungane kutoa Update...
People'ssssssssssssss!!!!! Powerrrrrrrrr
Ripoti kinachojiri kada. Wasipotoshe hao CHADEMA.Tuma na picha
Mzee Tupatupa wa Lumumba
Niko kwenye uwanja wa Samunge Kilombero ambapo mkutano mkubwa wa chadema utafanyika kuanzia saa nane...Watu wanazidi kumiminika kwa wingi kuja kumsikiliza kamanda Lissu, Lema..
Makamanda tulioko Arusha tuungane kutoa Update...
hivi kuvuta bangi na kusokota nywele ndio uhuni tu
wale wezi wabakaji
Mwaka huu inabidi utage tu! Na wewe je? Mbona unataka kufia kwenye mitandao kwa ujira wa buku 7, huna kazi nyingine ya kujiongezea kipato?Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?
Huu uzi mbona hauna kasi kama miaka ya nyuma?
Maana miaka nyuma2005-12,ata ukisikia babu anaumwa mafua basi ndani ya dk10 tayari page7!!!!!!
pamoja sana makamanda
Niko kwenye uwanja wa Samunge Kilombero ambapo mkutano mkubwa wa chadema utafanyika kuanzia saa nane...Watu wanazidi kumiminika kwa wingi kuja kumsikiliza kamanda Lissu, Lema..
Makamanda tulioko Arusha tuungane kutoa Update...
wale wanafunzi mlosomba kwenda jamhuri dodoma.....hawasomi shule? Wivu utakuuweniWatu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?