mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
machalii Wa ngarenaro,olmatejoo na ungalimited wanaovuta bangi na kunywa gongo ndio wahudhiaji wakubwa kwa sasa.wanasachi watu
Nkija magu ntaku pm.....komelagaMkutano vipi huko? Tupeni updates za huko AR jamani! Sisi tupo hapa KAHANGARA~MAGU tunazidi kutoa elimu ya uraia na kujipanga kwa kwa chaguzi za serikali za mitaa.PEOPLEZZZZZZZZZZZZZZZ
ok, kumbe ni leo ndiyo siku chama chenu kinazindua rasmi Rasimu ya katiba yenu eee - hongereniSisi tunafuatilia Mkutano muhimu Dodoma, vimkutano vya wavuta bange huko Arachuga vya nini?
asante kwa picha mkuu .View attachment 191442 unagegedwa wewe chapombe
Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?
wale wanafunzi mlosomba kwenda jamhuri dodoma.....hawasomi shule? Wivu utakuuweni
machalii Wa ngarenaro,olmatejoo na ungalimited wanaovuta bangi na kunywa gongo ndio wahudhiaji wakubwa kwa sasa.wanasachi watu
Kuna yule kibaka wa Olesiti aliyemtundika dadako mimba vipi bado unamlea dadako na mjomba? Pole sana hawa ndio machalii wa AR bhana!
Sema walevi wanakuja kwa wengi watu wako dodoma
Kuna yule kibaka wa Olesiti aliyemtundika dadako mimba vipi bado unamlea dadako na mjomba? Pole sana hawa ndio machalii wa AR bhana!
Nkija magu ntaku pm.....komelaga
vijana mnaohudhuria mikutano ya arusha wengi wanakuja wameshakunywa viroba tayari.wanatembea na visu na bisibisi.wengi wao ni wale wanaochezesha kamari pale stendi ya mabasi ya mkoa.wengi ni wanapiga debe pale stendi ya Haice
Dhima ya kitaifa?? Unauhskika wewe -----.Unafananisha dhifa ya kitaifa ya makabidhiano ya rasimu na hivi vimkutano vya kihuni?
Nkija magu ntaku pm.....komelaga
Eee bhana ni kweli kwamba unalea dada na mjomba ?