MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Wahuni pia ni raia wa Tanzania mkuu...hata hivyo hawakuzaliwa ili kuwa wahuni au hawakupenda kuwa wahuni....Ni matokeo tu ya mfumo mbovu wa serikali ya CCM
CCM ndio iliwatuma wakavute bangi na kusokota nywele?