Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

Dodoma ndio kila kitu leo, Katiba inayopendekezwa kukabidhiwa kwa Mh Rais Kikwete..
 
Mabomu ni sehemu ya Mikutano ya Arusha. Vijana wenzangu muwe makini.
 
makamanda hewan mstal wa mbele vitan 2tasonga daima ha mgogon kwa nguv na akil za busara 'act tanzania'
 
Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?

Hao waliojazana huko Dodoma umewapa ujumbe kama huu? au huko kwa kuwa kuna wali na bk 5 unaona wapo kazini.
 

Hii inaitwa twanga kotekote. People back to work.

Wakati wa uchaguzi walikuwa wanachonga sana na vibaraka wao ACT-Tanzania, sasa shughuli imeanza...ha ha ha ha ha..Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU. CHADEMA MPANGO WA ALLAH.
 
Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?


Mbona wewe uko uwanja wa JF masaa yote, huna kazi nyingine ya kukuingizia Kipato. wewe ni mala..wa mtandao!
 
Watu wanamiminika uwanjani Mapema namna hii?
Hao watu hawana kazi za kujiingizia kipato? Au ni wale wahuni wa stendi?

Ila wakikusanywa na malori ya kumpokea Kinana, ndio wanafanya kazi? Hata kusumbua ubongo kidogo huwezi?
 
MSALANI, Nduguyangu kama uko Nyumbani angalia TBC1. Leo Mh Rais anakabidhiwa Katiba inayopendekezwa.
Achana na hao Wahuni wa Arusha, watakupotezea muda.
 
Back
Top Bottom