Kuna watu wanasikitisha sana katika hiyo picha kuliko marehemu aliyetangulia. Poleni sana.
Despite of all the advertising, YOU didn't attend!Seen but far from being convincing with that handful of just a few people scattered on the floor - the much advertising notwithstanding.
Binafsi nilimpenda sana Regia na kwa kweli ameniachia pengo kubwa sana la faraja ingawa nimeshakomaa vya kutosha kutambua kuwa mapenzi ya Mungu lazime hutimia, na kazi yake haina makosa. Kwa kuanzia, nitachangia hiyo Foundation ya kumbukumbu ya Regia kwa dola mia mbili, halafu tutajuana huko mbele ya safari kadiri itakavyofanya kazi. Nitatuma mchango wangu ama kwa Max au kwa Sanctus kwa vile wao waliwahi kupokea michango yangu huko nyuma.
Hongereni kwa hilo mlilolifanya
Ila naomba nitofautiane na mtoa mada hapo juu ingependeza zaidi picha zikabakia kama zilivyo bila utambulisho. May be kwa ridhaa ya wahusika unaweza kusema huyu ni nani na yule ni nani
Inabidi maelezo caption iwepo. Inatumika ridhaa ile ile iliyotumika kuweka picha