Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,944
- 1,252,155
Hata marinda ntakushikia yawekwe sawa
Kuna siku utanishikia koki nini button
Kuna siku utanishikia koki nini button
Huna ya kunishikia marinda yako nitakupaka keiwayi itapenya tu bibie shaka ondoa
Labda anamaanisha Huyu marehemu ana churaaaIko .wapi chura mbona tumeoneshwa uso tu
Tangu lini we umekuwa na utuJe, ingekuwa ni Dada yako ndo aliyenyongwa bado ungeandika ulivyoandika ,,kifaa kilichonyongwa"? Jaribu kujifunza kufikiria na wengine pia, fikiria Familia yake inayoyapitia, kupoteza mtoto namna hii siyo rahisi hata kidogo, hivyo onyesha heshima angalau kidogo kwa Wazazi ndugu na jamaa wa Marehemu!
Hahah, inawezekana mkuu jina lake ni mboma na alikua anajisemea yeye haoni kituPatrick Mboma au?
Aisee ni mkali kinoma, R. I. PHuyu ndiyo mrembo aliyenyongwa na Mwanafunzi wa SUA.
View attachment 688239
POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KWA HILI. TUACHE SHERIA IMWAJIBISHE HUYO CHALIIHuyu ndiyo mrembo aliyenyongwa na Mwanafunzi wa SUA.
View attachment 688239
Unatamani angekupasia ee??Daaa kaondoka na chura yake asee.
World is not fair
Acha uongo Mzee, chura umeionaje hapo wakati mtu kakaa?Daaa kaondoka na chura yake asee.
World is not fair