Picha: Msichana aliyeuawa na mwanafunzi wa SUA

Picha: Msichana aliyeuawa na mwanafunzi wa SUA

nisijali Nini bana?? Hatutaki unafiki humu jamvin. JF Ina misingi yake madhubut isiyotetereka watu Kama nyinyi hamna nafas humu.

Longng live Braza lissu
Endelea kumpa za uso mkuu
 
Kahumba siku hizi haiuzi? Angeenda kuchkua watatu kwa hasira akapige 4some
 
umejaa unafiki tuu wee. Lissu mliyemminia risasi kila kukicha humu unamdhihaki kumtukana eti hapa unajifanyaga kuandika kwa staha. PRETENDERS ARE worse than murderer s.

Go to hell where you belong

ulianza vizur ila hapa umeyumba mzazi..... jamaa mbona aliongea point tuuu .. lissu kafata nn tena hapa yani hadi mnakera dadekii zenuuu wangapi wanapigwa risasi tz huyo lissu ndo kawa hoja yenu kila kitu lissu.....
 
Dah! Hili 'shimo la udongo' hili yani linafanya mpaka watu wanatoana uhai hivi hivi?
 
Je, ingekuwa ni Dada yako ndo aliyenyongwa bado ungeandika ulivyoandika ,,kifaa kilichonyongwa"? Jaribu kujifunza kufikiria na wengine pia, fikiria Familia yake inayoyapitia, kupoteza mtoto namna hii siyo rahisi hata kidogo, hivyo onyesha heshima angalau kidogo kwa Wazazi ndugu na jamaa wa Marehemu!

Wewe jamaa mnafiki sana
 
ulianza vizur ila hapa umeyumba mzazi..... jamaa mbona aliongea point tuuu .. lissu kafata nn tena hapa yani hadi mnakera dadekii zenuuu wangapi wanapigwa risasi tz huyo lissu ndo kawa hoja yenu kila kitu lissu.....
Weye umewahi kupigwa risasi hata ya nywele tu?Grow up,young man!!!!
 
Mapenzi ya kipuuzi hadi unamuua mwenzio!!!
Ama kweli siku ya mwisho tutajibu mbele yake!!!!
 
Bibie nimejaribu kuwaweka sawa watu humu ndani wengi walimdhihaki sana iweje mtu anaua bar maid na mtu ni msomi , kwa maelezo ya kina niliyoyasoma she was nice, kind and cute woman binafsi nimempenda.
bar maid wa bar gani....
 
Panic at ur own risk. Toa uzi achia wengine wachangie sijakushikia button
Achana na mimi bibie

Uzuri wa mtoa post au uzuri wa dada aliyenyongwa,wewe wa wapi
 
Back
Top Bottom