Picha: Msichana aliyeuawa na mwanafunzi wa SUA

Picha: Msichana aliyeuawa na mwanafunzi wa SUA

Duuh! R.I.P dada yetu. Wanaume wakati mwingine tupunguze ukatili na wivu. ukiona mtu anazingua achana naye kuliko kutoa roho ya mtu. Mapenzi ni utayari wa pende zote mbili, siyo kulazimisha upande moja.
Bado hayajakukuta....
 
Je, ingekuwa ni Dada yako ndo aliyenyongwa bado ungeandika ulivyoandika ,,kifaa kilichonyongwa"? Jaribu kujifunza kufikiria na wengine pia, fikiria Familia yake inayoyapitia, kupoteza mtoto namna hii siyo rahisi hata kidogo, hivyo onyesha heshima angalau kidogo kwa Wazazi ndugu na jamaa wa Marehemu!
umejaa unafiki tuu wee. Lissu mliyemminia risasi kila kukicha humu unamdhihaki na kumtukana eti hapa unajifanya kuandika kwa staha. PRETENDERS ARE worse than murderers.

Go to hell where you belong
 
Daaa kaondoka na chura yake asee.
World is not fair
Chura tena..... mbona haionekan hapo zaid ya reception. Au wewe mwenzetu ulimsindikiza mnyongaji ukawa nyuma yao
 
umejaa unafiki tuu wee. Lissu mliyemminia risasi kila kukicha humu unamdhihaki kumtukana eti hapa unajifanyaga kuandika kwa staha. PRETENDERS ARE worse than murderer s.

Go to hell where you belong

Usijali!
 
Aisee lugha chafu sana hiyo, katika tukio LA kusikitisha kama hili. Jaribu kujifunza au ungetumia namba ingine kuwajibu hao wajinga wenz..
 
Je, ingekuwa ni Dada yako ndo aliyenyongwa bado ungeandika ulivyoandika ,,kifaa kilichonyongwa"? Jaribu kujifunza kufikiria na wengine pia, fikiria Familia yake inayoyapitia, kupoteza mtoto namna hii siyo rahisi hata kidogo, hivyo onyesha heshima angalau kidogo kwa Wazazi ndugu na jamaa wa Marehemu!
Umeongea jambo la msingi lkn jf ni dunia mbaya sana kuna watu wa ajabu humu
 
Mzushi ulichofanya sio poa,hayonmajambaz unayasifia wewe labda huko kwenu
Kumsifia marehemu alikuwa ni mrembo ni dhambi,je mijambazi inayouwawa ikizikwa inapata sifa kemkem ndiyo haki kwako
 
Mboma sioni kitu hapo
Screenshot_2018-01-31-19-20-28.png

Swissme
 
Back
Top Bottom