Picha mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

Wadau kilicho nifurahisha ni kuwa kweli hakuna ---- yeyote aliyebeba mabango ya MM dah,yaani mpaka raha. Hongereni wasukuma na wakazi wa MWANZA kwa ujumla kuunga mkono juu ya safari hii ya kulikomboa taifa letu kwa wanyang'anyi ccm. Real I hate ccm and its followers!
 
Hii ni Chadema Mwanza ambako walisema imegawanyika au picha wa 2010 ? Sixgate na wenzako mko wapi ?

Ccm wanatakiwa kujiandaa kisaikologia kukaa bench kama mwenyekiti wao alivyowaasa kwani kwa hali ilivyo daftari la wapiga kura likipita watu wakijiandikisha vyema ccm hawana chao tena,hata wakijaribu zile mbinu zao za wizi wa kura haziwezi kuwasaidia katu kwani nguvu ya uma haicheki na kima asilan abadan."HAO WAPUUZI WANAOISHI KWA MATUMAINI YA KUJIDANGANYA NA KUWADANGANYA WENZAO KWA CHUKI ZAO BINAFSI OLE WAO KWANI MWANZA LEO IMEWATUMIA BARUA MBILI"kama hawajui kusoma alama za nyakati 'watataga'.
 
Mungu Ibariki Tanzania, ibariki CDM.
Haya yote ni matunda ya CDM sio mara ooh! Bila mm ...
Poor you.
 
Hamna kitu CDM,siku zao zinahesabika.

Ni kweli mkuu casampeda, chadema siku ya kuchukua nchi inahesabika, na hii inadhihirishwa na ccm wenyewe ambao sasa badala ya kutumia akili kufikiri, wanatumia tumbo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Habari ziwafikie, criss lukosi, zermacopolo, simiyu yetu ndugu jamaa na wote wanaohusika na msiba huu!!!!!!
 
Duuh,ila kuna watu ni wabishi kama vichawi vile. Hivi kweli huo umati wote wa watu bado hujakubali kuwa CDM ipo mioyoni mwa wananchi wa nchi ya TANZANIA? Naona kichawi wewe,huna hata soni kubisha kitu kinachoonekana.

hata kwenye mapromotion ya kutangaza salama condom dume watu wanajaa,sasa kwa akili yako hiyohiyo ndogo jiulize,waavutiwa na condom? au wanafwata mkumbo tu?CDM wanajiuwa wenyeme kwa kukumbatia UKANDA.
 
jamani mbona Zitto alituambia ameimaliza chadema, kumbe alitudanganya!!!! lazima watu wateme fungu letu, haiwezekani mbowe apate watu kaisi hiki mwanza.
 
hii ya mwaka jana wacheni uongo
hivi ccm tumekua wajinga kaiasi hiki! Tunajitekenya na kucheka wenyewe, hii ni mkutano wa leo nyamarango shule ya msingi nyegezi na mimi nilikuwepo sasa tunapajifurasha badala ya kumuuliza alietudanganya kwa ------ kwamba ameimaliza cdm tunabaki kukataa hata ukweli haitusaidiiiiii.
 
Et gwanjele na chagulani pamoja na meya wa kichina mmeona huyo nyome frahisha mtakomaje sisi tupo peopleeeeee's.....
 
Mwenye habari za yule mgonjwa wa akili anayejiita mwenyekiti wa Matawi ya Chadema kanda ya Ziwa atujuze yu wapi?Hivi aliona mkutano ulivyokuwa nyomi mbona hajaonekana tena au kwa kuwa keshachukua chake kutoka kwa Mccm so kajisepea zake llo njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbaya na mwisho wa siku ni aibu.
 
Hii ya mwaka jana wacheni uongo
Hayo niliyategemea isipoletwa picha haraka mnaidai ikiletwa ooh ni ya zamani au photoshop.
Basi wewe leta ya kwako ya tukio halisi, wacha longolongo ukizidiwa kete kubali yaishe.
 
Back
Top Bottom