Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

Watu walikuwa na wivu ila sasa kila kitu chaonekana
 
Kama kweli Edu anachukia umasikini mbona anafanya mambo yanayomwagilia maji umasikini? Hiyo hela iliyotumika ingewakomboa vijana wangapi kama wangenunuliwa mitambo ya kutengeneza vifaa vya chuma kutoka kwenye maonyesho ya wajerumani yanayoendelea pale mlimani city? Mungu tuhurumie sisi wanao.
 
Naona Edo anatamani awe na afya kama ya Kigunge

Hapo kuna kaukweli hata mimi niliona tofauti..... bwana mamvi hawezi kabisa kunyanyua mikono, ni mgogoro yani wakati anaongea alikuwa akinyanyua mikono kwa taabu kabisa na ilikuwa ikiishia katikati.. lakini mzee kingunge bado yuko fiti kabisa alipokuwa akiongea kwa ukakamavu kabisa na kunyanyua mikono hadi juu
 
Chanuka uone kama mikono yake haina nguvu
 
Huyu Edo Sio Kiongozi.Ila Ni Mfanyabiashara Ambae Anafadhiliwa Na Wafanyabiashara Wenzake Ili Wakaigeuze Ikulu Pango La Wanyang'anyi.Kumuingiza Ikulu Ni Sawa Na Kuwakabishi Panya Ghala Ya Mahindi Wakulindie

Kumsimamisha Huyu Fisadi Itakua Ni Anguko Kubwa Sana Kwa Ccm.Hana Mvuto Atafute Shughuli Nyingine Ya Kufanya.
 
Back
Top Bottom