Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

Du, hatare!
Zinanikumbusha enzi za Lyatonga mwaka 1995.
Muwekapicha, hebu tupia na picha inayoonyesha mlima Meru basi tuifaidi A-Town kwa uzuri.
 
watanzania bado sana. tunahitaji miujiza ya mungu.
 
Ajitutumua kwa kukimbia na kucheza lakini hakuna po mtu hapo.
 
Ukweli ni kwamba Lowassa amedhoofu na ni mgonjwa! Nimemuonea huruma wakati ana panda jukwaa. "...Ikulu sio wodi ya wagonjwa..." Nape Mosses Mnauye
 
Tzania Tumekula Maharage ya Wapi? Uchumi puuu......!!!! Watu wamwaga pesa km mtama!!!
 
KIBONDE MC LEO BAADAE UKUU WA MKOA au WILAYA UTAMHUSU
 
Watu ni wengi ndani ya jimbo la Chadema
 
Hiyo ni monduli imehamia arusha mjini hakuna chochote hapo. Afu huyu solomoni maswangwa anataka kuaibisha kanisa aache uaskofu wake aingie kwenye sias anaiabisha kanisa huyu wat the f....ck. Naona wamasai tu hakuna jipya hapo hizo kura atazihesabia kwao monduli sio arusha mjini
 
Kwaile ile hela aliyotumia haa watu wachache sana katumia pesa nyingi sana kukusanya watu kwenda uwanjani.
 
Watu ni wengi ndani ya jimbo la Chadema
masai hao wamepanda daladala toka monduli hakuna kipya hapo sema tu coz huo uwanja niwa ccm na mashina mengi yako hapo ila huyu mzee atakufa kwa pressure kura za hapo arusha zitakavyompiga
 
Back
Top Bottom