Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

Hela ndo kila kitu...wakati akina Mwigulu wanaenda vyuoni kutangaza nia...Edo anakusanya nyomi balaaa....kinachouma ni kwamba hela hizi zote zitarudishwa akiwa Rais. Waliozitoa watarudishiwa tu iwe kwa vyeo vya kiswahiba, ufisadi, miradi...lazima zirudi acoount equation i-balance!!

enzi za kulakula hela ya umma zilishapita.bunge lijalo litakuwa kali sana
 
EATV wako (live) hewani kupitia TV two kutoka Arusha
 
ITV LIVE safari ya huzuni kwa mbunge wa monduli
 
Hela ndo kila kitu...wakati akina Mwigulu wanaenda vyuoni kutangaza nia...Edo anakusanya nyomi balaaa....kinachouma ni kwamba hela hizi zote zitarudishwa akiwa Rais. Waliozitoa watarudishiwa tu iwe kwa vyeo vya kiswahiba, ufisadi, miradi...lazima zirudi acoount equation i-balance!!
Nchi hii tulikofika ni heri huyo anayepewa na wenzake,kuliko serikali inayofilisi mifuko ya pensheni
na kuishia kututungia sheria za kuzuia hela yetu mpaka tustaafu na miaka sitini,huku wakijua
si wengi wanafika huko wakiwa na nguvu.
 
nawaona tibaijuka, bashe, mahanga, mulugo, balozi mwapachu ndani duh huyu jamaa akikosa sijui
 
Natamani mwenye picha za msafara wa kuingia uwanjani
na nyinginezo,atuwekee hapa
wengine tuko kibaruani.
 
Hela ndo kila kitu...wakati akina Mwigulu wanaenda vyuoni kutangaza nia...Edo anakusanya nyomi balaaa....kinachouma ni kwamba hela hizi zote zitarudishwa akiwa Rais. Waliozitoa watarudishiwa tu iwe kwa vyeo vya kiswahiba, ufisadi, miradi...lazima zirudi acoount equation i-balance!!

mwigulu kaenda chuo gan kutangaza nia wakuu?
saa ngap?
 
Duu huyu jamaa ni mtu wa fedha kafanya watanzania tumsahau kuwa huyu ndo richmondi..daa pesa ni hatari kwa ustawi wa watanzania
 
Back
Top Bottom