Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

Arusha leo kuna jam sana ya magari, helicopter na ndege zinarindima angani.
 
ukisikia Money is Power in poor countries ndo hii ya leo,jamani jamani nasubiri tu kuona ataongea nini?
 
Mbona hata mwigulu anamwaga hela kila kona;kuna basi zimeshaingia kutoka shinyanga ,singida na tabora na posho juu
 
Ukitaka kujua akili 'halisi' za 'watanzania' subiri uchaguzi uishe! Akili ndio zinarudi!
 
Back
Top Bottom