Hela ndo kila kitu...wakati akina Mwigulu wanaenda vyuoni kutangaza nia...Edo anakusanya nyomi balaaa....kinachouma ni kwamba hela hizi zote zitarudishwa akiwa Rais. Waliozitoa watarudishiwa tu iwe kwa vyeo vya kiswahiba, ufisadi, miradi...lazima zirudi account ili equation i-balance!!