engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
wamepata watu
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100.CCM inatumia rasilimali zetu vibaya. Hawa mawaziri wanaongoza serikali YETU sote. Kuna haja ya kustipulate kwenye katiba mpya kwamba WAZIRI wa Serikali asiwe na affiliation na chama chochote cha siasa