Picha: Mkutano wa CCM Kigoma

Picha: Mkutano wa CCM Kigoma

Huyu anaongea nini jamani, utadhani anatishia kumeza watoto!

attachment.php

Anawakumbushia ahadi ya Bosi wake ya kuifanya kigoma kuwa Dubai imeota mbawa!
 
Hii ndiyo Timu ya Ushindi angali walivyo choka....:spy:
9. Viongozi.jpg
 
Kwao eti huo ndo TBC wanaita maelfu ya watu..chadema nyomi mara tisa ya hapo tbc wanaita mamia.
 
Kwa ninavyoujua upinzani uliopo kigoma, hapo ccm ni kama wamefunika!
 
Kwa ninavyoujua upinzani uliopo kigoma, hapo ccm ni kama wamefunika!
Mimi nilimshangaa jamaa anayeonyesha vidole vitano kwa kauli zake kwamba sasa hakuna tena michango ya Shule na kukataza ukusanyaji wa ushuru kutoka kwa akina Mama wanaofanya biashara kwenye Masoko ya Halmashauri ya Kigoma/ Ujiji bila kuwaeleza Wanananchi ni kiasi gani cha fedha zimetengwa kutoka Serikali kuu kwa ajili ya Halmashauri hiyo katika kuendesha shughuli zake.
Naamini kauli hiyo ingesemwa na upinzani leo tungewaona wanafunguliwa kesi ya Uhani.
 
Mi najiuliza tu hapo tamko likitolewa na waziri aliyevaa nguo ya kijani kauli yake inakuwa ni kauli ya serikali au kauli ya chama?
 
Watu wamechoka hadi hawanyooshi mikono CCM bye bye!!!!!!!!!!!!Duh
 
Vipi wale maelfu wa kurudisha kadi wapo hapo hapo?au bado wanasubiria zichapishwe,si niliona post moja jana ikisema maelfu kurudisha kadi za chadema kigoma kesho(leo)?au ramli imekataa?
 
wamechoka mkuu!
Duu mavitambi tuu yamewajaa!

Mkuu hivi unawaelezaje watu kuhusu maisha magumu wakati wewe unahemea juu juu!Si ndiyo maana wananchi wanawaona wasanii:eek2:
 
Lakini pamoja na yote kujaza watu kwenye mikutano au la kwa magamba "it is not a big deal" bali wanacho paswa kufanya ni kutekeleza ahadi na si vinginevyo. Mie nawashangaa sana kwa nini wanapoteza muda kwenye hii mikutano? wanadhani imani waliyo poteza kwa wananchi itarudishwa na mikutano ya hadhara? kwani wao bado wanatafuta ridhaa ya kuongoza? yaani kama ni kufa basi huku ni kufa vibaya. Watu wanataka waone umeme, maji barabara, uwanja wa ndege wa kimataifa pale Kigoma kama walivyo ahidiwa na ahadi nyingine nyingi kama mkulu alivyo zitoa. Sasa hata huo uwanja watu wa Kigoma walioahidiwa hakuna hata dalili za kuanza kuujenga wanakimbilia mikutano ya hadhara! Magamba this strategy will not save you..better die hard but not like this..
The strategy we are observing is serving their pockets. Shameless bunch in action. Where is Mwigulu AKA Lameck Mkumbo to complete the bunch?
 
Kadi ngapi za cdm zimerudishwa?si nilimuona Mkigoma na kipost chake anajitapa hapa jana?eti maelfu kurudisha kadi za cdm kigoma kesho(jana)
 
Kweli CCM tumeichoka lakini wote hatuwezi kuwa CDM
lakini lazima tuoneshe kwa vitendo juhudi za kuikomboa nchi kwa mbinu zetu wenyewe za wazi na siri kwani kiukweli nchi yetu haiko vizuri.tunaweza tu kufanya kwa kubaki watanzania na wazalendo basi.
 
Back
Top Bottom