Picha: Mkutano wa CCM Kigoma

yaani na ma-fuso, tipa, nk hawa ndio watu? kweli CCM haina Kitu 2015, nadhani hata Mwanri anashangaa
 
AyBO_zuCIAEdnd_.jpg


attachment.php


Mkutano wa CCM Kigoma ambao uliongozwa na Nape Mnauye na hili tukio la Muziki ukiongozwa na jopo la wabunge wa Muungano vinahusianaje katika matukio hayo kwa wakati mmoja kama si kuhujumiana?

Tafsiri si nyepesi sana kwa vile Tamasha la muziki lilisheheni wabunge wa vyama mbalimbali vya siasa wakiwemo wa CCM.
 
Dah mbona waandishi wa habari wengi kuliko wananchi imekaaje hii! Nafikiri wana CCM mmeipata hii! Ukilinganisha na mkutano wa chadema uliofanyika majuma kadhaa yaliyopita ni dhahiri ccm imedoda!
 
Walivuna wanachama wangapi??maana kuna mtu alikuja hapa jana na pumba zake akasema watavuna wanachama wa kufa mtu kwa kadri alivyosikia wakisema wakazi wa kigoma
 
Hongera zao japo nafahamu wengi wao wanatoka mkoa wa Katavi kwa nyooka PM
 
[h=1]MKUTANO WA CCM KIGOMA MJINI[/h]




Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala wa Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI,) Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais, Mahusiano, Steven Wasira akihutubia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Wazee wa mkoa wa KIgoma kwenye mkutano wa CCM, Uwanjwa wa Community Cetre Mwanga Kigoma
Viongozi wa Chama na Serikali
Mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa CCM katika Uwanja wa Community Centre, Mwanga mkoani Kigoma
 
Back
Top Bottom