huyo mchechu si ndo wanajilipa mishara minono alafu kazi wanafanya kwa kusua sua, hebu fikiria mkurugenzi wa NHC analipwa millioni 15 kwa mwezi anatembelea gari landcruiser kilimo kwanza anewekewa mafuta lita 1200 kwa mwezi na bado anapewa mafuta ya bure kwa ajili ya gari binafsi anawekewa vocha na anakaa nyumba ya serikali maji bure umeme bure.Bado unategemea tutaendelea kweliNgoja tusubili LOWASA may be he will do something.Alafu nehemia mchechu wa NHC anatoatoa macho tu
Ngoja na sisi tuanze kupata hela za gesi....!
Mkuu mawazo yako mazuri ila haitawezekana kwa kwa sistimu ya kubadilisha mawaziri kila mara na kuchagua wapiga domo(wanasiasa) na kuacha wachapa kazi walio someayani mimi huwa nawaza tutafute mwekezaji huko ulaya watu wanapesa waje kujenga nyumba za kupangisha za bei nafuu flats kama hizi.Tukiwa serious unavunja manzese yote hadi magomeni then unashusha vitu hivi then kila mwenye kiwanja anapewa flat mmoja ku compasate nyumba yake.
Typical ya frustrated being......
Mi nauliza kistaarabu tu, wewe unaendeleza za kuzodoana na kutukanana! Waendelee wengine mkasirike nyie.
Kutembea kwako maeneo mengi kumekufanya mtumwa badala ya kukufungua zaidi. Umeenda kwa jirani pazuri, unarudi kugombana na nduguzo. Aibu na iwe juu yako kwa matusi ulotoa...
Ngoja tusubili LOWASA may be he will do something.Alafu nehemia mchechu wa NHC anatoatoa macho tu
yani mimi huwa nawaza tutafute mwekezaji huko ulaya watu wanapesa waje kujenga nyumba za kupangisha za bei nafuu flats kama hizi.Tukiwa serious unavunja manzese yote hadi magomeni then unashusha vitu hivi then kila mwenye kiwanja anapewa flat mmoja ku compasate nyumba yake.
huyo mchechu si ndo wanajilipa mishara minono alafu kazi wanafanya kwa kusua sua, hebu fikiria mkurugenzi wa NHC analipwa millioni 15 kwa mwezi anatembelea gari landcruiser kilimo kwanza anewekewa mafuta lita 1200 kwa mwezi na bado anapewa mafuta ya bure kwa ajili ya gari binafsi anawekewa vocha na anakaa nyumba ya serikali maji bure umeme bure.Bado unategemea tutaendelea kweli
Nyau we mtoto unauliza maswali ya kijinga et watu watu ndo wamejenga so wataka nin unazan wanaish nyani hapo kwendaaaaa kaoge kwanza.nyie ndo tukiwapa ofisi mnakua wez af kutwa kulalamika wit no f***n action
Nasubili kwa hamu sana ijengwe kama hiyo Tazara na ubungoHyo ring road hapo juu ni nyoko sie tuna round about kuuuubwa tz ipo pale msamvu manina ..
... Tz kua ka angola sahau kabisa
Mkuu dhumuni si kufika huko ila tunataka kuangalia jinsi gani taifa ambalo lilikuwa vitani miaka mingi limeweza kuamka mambo ya rushwa ufisadi kwa nchi za Afrika ni kawaida na kwamba Angola viongozi wanaiba sana ila wanajitahidi kuibadili nchi yao kwa kiasi kikubwa kwa mfano kuna kipindi huwa wanavunja nyumba za uswahilini wanajenga mpya za kisasa zikiwa na huduma zote.Mosi, unafaidika nini kurusha matusi kwa usiemjua?
Pili, kati ya mimi na wewe nani anaelalamika?
Jijibu kabla hujanijibu. Ikikupendeza, waeza pia kukaa kimya. Nao ni uerevu!!
Kama utazungumza, twende kwa hoja. Matusi siwezi. So, wameonyesha majumba, still, hakuna watu! Kujenga nyumba mia unahita mkandarasi mmoja tu. Wanaoishi humo wako wapi? Kama ni kupya, kuliko na watu ni wapi?
Unanielewa napoulizia watu wapo wapi mantiki yake nini?
Mkuu dhumuni si kufika huko ila tunataka kuangalia jinsi gani taifa ambalo lilikuwa vitani miaka mingi limeweza kuamka mambo ya rushwa ufisadi kwa nchi za Afrika ni kawaida na kwamba Angola viongozi wanaiba sana ila wanajitahidi kuibadili nchi yao kwa kiasi kikubwa kwa mfano kuna kipindi huwa wanavunja nyumba za uswahilini wanajenga mpya za kisasa zikiwa na huduma zote.
Isabel Dos santos, she was africa's first female billionaire in 2013..
Mosi, unafaidika nini kurusha matusi kwa usiemjua?
Pili, kati ya mimi na wewe nani anaelalamika?
Jijibu kabla hujanijibu. Ikikupendeza, waeza pia kukaa kimya. Nao ni uerevu!!
Kama utazungumza, twende kwa hoja. Matusi siwezi. So, wameonyesha majumba, still, hakuna watu! Kujenga nyumba mia unahitaji mkandarasi mmoja tu. Wanaoishi humo wako wapi? Kama ni kupya, kuliko na watu ni wapi?
Unanielewa napoulizia watu wapo wapi mantiki yake nini?
Pamoja na civil war za muda mrefu lakini wametuacha mbali sana sisi "kisiwa cha amani"