Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Hiii ndio Ocean road yao ila hawapigi roba
Maskini sisi hatuna tena hata hilo jina, sasa ni Barack Obama Drive... sheeeda sana bana!
Hiii ndio Ocean road yao ila hawapigi roba
mkuu ingia hapa chiniRidculoiz,
Hujanijibu maswali yangu......umemtupia mzigo Tosh naye sijuwi atajibu lini.
pfv, ---- verdade.....lete maelezo ya maswali yangu. Nataka kuja huko!
Ooh nilisahau si unajua tena tupo huku porini Isungang'wanda, barabara siku hizi kila siku vikao kubadilia majina wakati yalidumu miaka kutokana na barabara nyingi kubeba historia flaniMaskini sisi hatuna tena hata hilo jina, sasa ni Barack Obama Drive... sheeeda sana bana!
Mkuu, jisemee nafsi yako. Nawajua wengi tu ambao ni 'useful' mimi mmojawapo. Na ninatumia ipasavyo kila fursa kuchagiza maendeleo kwangu na wanaonizunguka.
Waliofanikiwa walijibidisha na kufanya uamuzi binafsi na shirikishi kubadili hali zao.
Walalamishi hubaki na hayo maneno na huwa hawakosi cha kulaumu/kutoa kasoro kwani hawana cha kujivunia.
Kwa ID yako, nataraji utabisha :-D
Kitu kingine nilichojifunza kwenye uzi huu, kumbe 'billboards' ni uchafu, kwenye hizi picha sijaziona kama lilivyojazana huku kwetu!
Hata watu hawaonekani kwenye nyingi ya hizo picha. Kuna kitu hakipo sawa.
Labda excluding wewe na mimi ila wabongo wengi ni useless kiasi kwamba mpaka majirani zetu wanatujuwa kwa hilo.
Picha zipo sawa mkuu, hapa picha nyingi zinaonyesha motor ways au highways. Hapo huwezi kuona watu kwa kuwa hakuna sehemu ya kupita watu ni magari tu.
Hivi ndivyo miji ya wenzetu inavyojengwa, sio unakuta watu wanavuka kwa miguu Nyerere rd halafu tunasema highway!
Au unakuta matuta kwenye highway, hivi ndivyo zinavyokuwa, hakuna sehemu ya kuvuka kwa miguu ndio maana hakuna watu!.
Shedafa, hata kama ni highway, mbona hata magari hakuna? pale stendi ya basi watu wachache tu. Na pale kituoni waliokaa wanaonekana wa 'kawaida' saana.....
Sikatai ni kuzuri. Nataka kuona pia kijamii wapoje. Maana majengo na mabarabara bila wa kuyatumia ni bure.
Au picha ziko staged....?
Unauliza maswali ya kijinga unafikiri hapa kwenu watu wanatembea toka kkoo-magomen kwa miguu hizo nchi nyingi kuna watu wanatumia pr. Cars pia kwenye bus stop huwez kuta watu weng coz usafiri uko vzur kila baada ya mda fulan gar inakuja kupakia watu huwez kuta watu wako kwa miguu unless jion watu wanafnya jogging pembezon mwa road Nyau wee tembea uone i was there maisha mdogo mdogo pia nimetembea nchi nyingi kusin mwa africa ila Tz n nyoko hamna kitu hapa watu wanasifia road ya iringa ndo nzur hakuna kitu pale miaka 5 mbele hoi kwanza highway ina matuta haipo katka dunia hii only in fuckin Tz...