Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Mwanajeshi mmoja ameamua
kujitoa mhanga na yuko tayari kufukuzwa kwaajili ya CHADEMA maana
amechoshwa na maisha magumu ya kwake binafsi na ndugu zake...
View attachment 76434
Lema, Nassari na mwanajeshi aliyeamua kusema yupo tayari kufukuzwa kwa
ajili ya CDM LEO kwenye mkutano Mererani
Narudia hii haijawahi tokea! vyovyote vile huyu ndio askari wa kwanza kwa majeshi yote kujilipua hivi!
jeshi lina sheria, kanuni na taratibu zake! lets wait...........
Mimi sio kada kaka,mi ni mpiga kura tu wa kawaida na nafurahia kuwa hivyo, ningeshauri mmushauri huyo askari nae avue haya magwanda ndo aingie kwenye siasa kama hao uliowataja,sikumbuki tibaigana kufanya siasa wakati akiwa mtumishi wa umma,tunachoongelea hapa ni kama kuna sheria yoyote imevunjwa,nafikiri kama kichwa chako kinaweka kumbukumbu sahihi,mnajua alichofanywa yule askari polisi wa moro aliye taka kugombea NEC kupitia CCM.????na hicho ndicho atakachofanywa huyu askari,like or not.Ukada wako sisi hatuhusu,mbona mnatumia viongozi na watumishi wengi tu wasiostahili,Tuambie akina Tibaigana wakati wanagombea ubunge huko Muleba baada ya kustafu Polisi lini alikuwa mwana CCM,Je na James Kombe kamanda wa Polisi huyu kila cheo cha ccm anakitaka japo wanaflush,Je na huyu Jenerali Mboma?,na MADC,MARC ?.kafie mbali
Mkuu ni muhimu sana kuwa na kumbukumbu ya matukio,kuna askari polisi morogoro alienda Dodoma kugombea NEC,uliza alichofanywa,na huyu naye atafanywa hivyohivyoWhat if Angepiga picha na Nepi, Chichidodo, Jangili, Nyoka wa Mdimu, Vijicent, Prince...wangemtimua?
kwanza nasikitika kwa tukio hili, mimi nilikuwa kwenye huu mkutano jana huyu mwanajeshi huwa anafundisha mgambo mjini mererani, jana wakati chadema wakifanya mkutano wa hadhara mwanajeshi huyo aliwaamuru mgambo wote waende kwenye mkutano kuwasikiliza wabunge wa chadema, kabla mwanajeshi huyu haja fikia uwamuzi huo, kuna haice moja ilikuja na makamanda kadhaa wa Chadema, akiwepo mpambe mmoja wa Millya, Oleleshwa alikwenda kuongea na huyu mwanajeshi huyo na ndo migambo wakapewa amri ya kwenda kwenye mkutano, bado niko hapa Mererani nafanya uchunguzi wa kina na nimesha gundua kuwa, Lema, Nassari, Heche wakishirikiana na Millya wanatengeneza Jeshi na watatumia msitu wa Komolo wilayani simanjiro, mtu anayeratibu mafunzo ya wa wanajeshi hao wanafundishwa kwa mwamvuli wa mgambo ni mzee mmoja anaitwa Peter Peshut akishirikiana na Oleleshwa, kwa ufadhili wa kamanda Ndesamburo na Mbowe, naendelea na ufafiti na kuna taarifa kuwa gideon Sanago naye yuko hapa Mererani akiendelea kuwashawishi Apolo wajiunge na jeshi la kina Lema.
Wa askari wa morogoro aliyekwenda Dodoma kugombea Nec ya CCM mbona mmemsahau wakubwa,na alichofanywa yule askari ndo hichohicho atakachofanywa huyu askari.Wakitumia ccm siyo hatari,ila Lema hatari.! Uko vizuri kweli?
AkIli.
Kwake lema,ni kwamba the end justifies the means,hii itatugharimu sana kama ambavyo saa hz mahakama ya kadhi ilivyotucost watz coz ya njaa za lyatonga mrema na mahakama yake ya kadhi.,mwanasiasa anapofilisika anaishia kutumia njia haramu kuingia ikulu,kwa faida ya nani sasa?binafsi katika hili siungi mkono ...hizi sio siasa na hukana na hakuna duniani kuwahi kutokea kituko cha wanasiasa kutafuta watu kuwavalisha kombati za jeshi kwa lengo la kufanikisha mambo yao ya kiasia..ndo naona hapa tz... Na ukweli uko wazi hasa hawa viongozi hawa vijana wa cdm ukweli ni hatari wanavuruga nchi wazi wazi... Tushabikie lakini tuangalie na ukweli wa swala hili ni hatari sana . Mbowe,slaa ,mzee mtei vyema mkaangalia upya njia ya kupata mafanikio katika siasa zenu kama ni sahihi au la...
Kosa lake litakuwa lipi?