Jamii bwana kila lenye ukweli kisiasa lazima lipate propaganda, kiukweli haya ni majibu ya maisha bora kwa kila mtanzania.Kwamba hakuna maisha bora kwa kila mtanzania, na serikali ya ccm haina nafasi ya kuisikiliza jamii, bali ghiriba , na uongo wa takwimu ambazo haziendani na maisha halisi ya mtanzania;Kwa miaka mingi chumvi ilikuwa inanunuliwa t.shs 50/= leo mia mbili, piga hesa ya ongezeko la kia asilimia, na je na maisha nayo yemekuwa safi kiasi hicho?acha ubabe wa kupindisha ukweli si gwanda la kununua bali ni maisha magumu, JWTZ ana rushwa gani zaidi ya mshahara?na je huo mshahara unamtosha?akalalamike wapi?kumwona hovyo ndo kuondoa msongo wa maishaMagwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Na kama ikatambulika kama si askari shahidi namba moja atakuwa lema na wenzake. Pia kuvaa sale za jeshi iwe la tz au nje ya nchi pia ni kosa. Na kwa akili ya kawaida hakuna askari mwenye akili kama hizo akatokeza mbele hivyo na magwanda ya jeshi ...
Msimshabikie mwenzenu akifanyiwa court martial na kuondolewa jeshini muwe tayari kumpa ajira! Wanajeshi wakitaka siasa watoke jeshini kwanza ndio kanuni ilivyo.
kwanza nasikitika kwa tukio hili, mimi nilikuwa kwenye huu mkutano jana huyu mwanajeshi huwa anafundisha mgambo mjini mererani, jana wakati chadema wakifanya mkutano wa hadhara mwanajeshi huyo aliwaamuru mgambo wote waende kwenye mkutano kuwasikiliza wabunge wa chadema, kabla mwanajeshi huyu haja fikia uwamuzi huo, kuna haice moja ilikuja na makamanda kadhaa wa chadema, akiwepo mpambe mmoja wa millya, oleleshwa alikwenda kuongea na huyu mwanajeshi huyo na ndo migambo wakapewa amri ya kwenda kwenye mkutano, bado niko hapa mererani nafanya uchunguzi wa kina na nimesha gundua kuwa, lema, nassari, heche wakishirikiana na millya wanatengeneza jeshi na watatumia msitu wa komolo wilayani simanjiro, mtu anayeratibu mafunzo ya wa wanajeshi hao wanafundishwa kwa mwamvuli wa mgambo ni mzee mmoja anaitwa peter peshut akishirikiana na oleleshwa, kwa ufadhili wa kamanda ndesamburo na mbowe, naendelea na ufafiti na kuna taarifa kuwa gideon sanago naye yuko hapa mererani akiendelea kuwashawishi apolo wajiunge na jeshi la kina lema.
Jamani kwani kupiga picha na mwanasiasa ni kujihusisha na siasa? Watanzania acheni woga uliopitliza
Mkuu umesahau ccm hawakosi zengweKosa lake litakuwa lipi?
kisheria mtu wa chombo cha ulinzi na usalama hapaswi KUJIHUSISHA NA MASUALA YA VYMA,HAPASWI KUSHABIKIA CHAMA AU KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Ukirusha jiwe kwenye giza alafu ukaskia aiii! ujue limempiga mlengwa,kwanza nasikitika kwa tukio hili, mimi nilikuwa kwenye huu mkutano jana huyu mwanajeshi huwa anafundisha mgambo mjini mererani, jana wakati chadema wakifanya mkutano wa hadhara mwanajeshi huyo aliwaamuru mgambo wote waende kwenye mkutano kuwasikiliza wabunge wa chadema, kabla mwanajeshi huyu haja fikia uwamuzi huo, kuna haice moja ilikuja na makamanda kadhaa wa Chadema, akiwepo mpambe mmoja wa Millya, Oleleshwa alikwenda kuongea na huyu mwanajeshi huyo na ndo migambo wakapewa amri ya kwenda kwenye mkutano, bado niko hapa Mererani nafanya uchunguzi wa kina na nimesha gundua kuwa, Lema, Nassari, Heche wakishirikiana na Millya wanatengeneza Jeshi na watatumia msitu wa Komolo wilayani simanjiro, mtu anayeratibu mafunzo ya wa wanajeshi hao wanafundishwa kwa mwamvuli wa mgambo ni mzee mmoja anaitwa Peter Peshut akishirikiana na Oleleshwa, kwa ufadhili wa kamanda Ndesamburo na Mbowe, naendelea na ufafiti na kuna taarifa kuwa gideon Sanago naye yuko hapa Mererani akiendelea kuwashawishi Apolo wajiunge na jeshi la kina Lema.
eeh!!!? halafu kama kweli ni JWTZ staff kwani kaficha sura yake na kofia? angeachia tu sura yake wazi ionekaneMwanajeshi mfupi namna hiyo? mwe???
Kosa lake ni kushabikia chama cha siasa. Maana mwanajeshi hapaswi kushabikia chama chochote. Kwa kujitokeza kwake kwenye mkutano wa CHADEMA na kuonyesha alama ya V, kuna influence ya moja kwa moja kwa raia, na pia kunamuondolea yeye sifa ya kuweza kutenda haki iwapo yatatokea machafuko au mgogoro kati ya CHADEMA na CCM au chama kingine chochote.Kosa lake litakuwa lipi?