Kushiriki siasa waziwazi na kama mtumishi wa umma.
Mkuu maisha ni magumu yaani wanajeshi wanatamani afadhali wawe wachimba msingi kuliko kutumikia jeshi..kuna polisi wengine ukiwaona hata mavazi yao utawahurumia...
Naona Wenye haamini.
Jamaa keshakosa ajira.
umechukia kuona soulder kajiunga na harakati??
Wakuu wa wilaya na mikoa vipi! wao sii watumishi wa umma?
Kimsingi kafanya kosa kubwa sana kuingia kwenye siasa wala asisubiri aondolewe anatakiwa awe ameondoka mwenyewe kama ni kweli huyu kwenye picha ni mwajeshi halisi. La kujiuliza Is he alone? au ni chambo? are they many in silent support ila yeye yamemfika? Kwa kila mwenye akili za kuchambua masuala ni vizuri akajiuiliza maswali mengi kazi kwenu JFjeshi lina sheria, kanuni na taratibu zake! lets wait...........
Mimi na jeshi langu hatufanyi kazi kihisia.Mjitayarishe kuwakana wanajeshi wote kama ndiyo hivi. Hawa si kama madaktari ama walimu wanaoweza kugoma utokana na sheria zao, ila askari wengi wa vyeo vya chini halizao kimaisha ni ngumu mno.
ccm bana,wanaanza kuvikimbia hadi vivuli vyao
Kosa lake litakuwa lipi?
ccm bana,wanaanza kuvikimbia hadi vivuli vyao
mwanausalama yeyote ni mwiko kushabikia siasa
Hata hizo nguo zinapatikana hata kwenye maduka zinaendana na kombati.La kushangaza hakuna.Angejitaja jina hapo sawa.Siasa ndo hizo wazee.