idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
FaizaFoxy, Lizaboni, gsu, Chabruma, mjepo, Simiyu Yetu & co. mpo?
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, akiwapatia chakula watu wenye ulemavu na wasaidizi wao wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam juzi. Kila mwaka, Dk. Mengi huandaa chakula cha mchana kwa watu hao ambapo mwaka huu jumla ya watu 4,000 walihudhuria. PICHA: KHALFAN SAID