Wewe acha kuingilia imani za watu, hii sio CCM na cufPaul na macca wapi na wapi
Hi statement inafikirisha sana kwa wenye kutafakariNimeipenda hii...
"kusema kweli ni dini ambayo ilinifungua akili na hilo labda linanifanya niwe mtu mwema.Unakuwa na uhusiano na ubinadamu na kuheshimika kwa yule uliye ,dini uliyonayo, rangi gani ya mwili na kila kitu. Uislamu ni - heshima kwa binadamu ".
Nimeipenda hii...
"...Uislamu ni - heshima kwa binadamu ".
Hivi huu mji unaitwa Macca, Mecca, Makka au Makkah?Baada ya kumaliza mfungo wa mwezi wa Ramadhani Paul POGBA aliamua kwenda kufanya Umra katika mji mtakatifu wa Macca https://www.bbc.com/swahili/michezo-48617965
Pogba ni muislamu mbona..ni wajibu wake kwa mujibu wa dini take...Ila I wonder how anakuwa na jina la kikristo kisha yeye ni muislamu??Hivi huu mji unaitwa Macca, Mecca, Makka au Makkah?
Uislamu unatambua na mwanamke ni binadamu?!Nimeipenda hii...
"...Uislamu ni - heshima kwa binadamu ".
Hakuna majina ya Kiislam wala Kikristu. Kama ipo nioneshe sura iliyoyaorodhesha.Pogba ni muislamu mbona..ni wajibu wake kwa mujibu wa dini take...Ila I wonder how anakuwa na jina la kikristo kisha yeye ni muislamu??
Moyo wako umejaa chuki hadi inamwagikaPaul na macca wapi na wapi
Sharia ya Kiislam ndiyo hukumu pekee inayompa fursa aliyeuwa kusamahewa na warithi.nyie mnaochinja watu mna heshima gani?
Dini ya kipuuzi sana
Kwani maana ya jina ni nini mkuu? Si ni kuitwa na kuitikia tu? Mimi huwa siamini kwamba kuna jina la ki Islam na kikristo.Pogba ni muislamu mbona..ni wajibu wake kwa mujibu wa dini take...Ila I wonder how anakuwa na jina la kikristo kisha yeye ni muislamu??
Ndio inawatambua nyie kinamama.Uislamu unatambua na mwanamke ni binadamu?!