PICHA: Mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba akiwa Macca

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
7,925
2,000
Tetea weee!!! ila kuchinja mtu hadharani kwa Upanga ni ukatili wa hali ya juu.
Tena wanahukumiwa kwa sharia za kiislam wala sio Warithi kama unavyotaka kupotosha umma.

Dini gani isiyojua kusamehe, yaani warithi wanataka mwenye mali afe warith mali zake??.
Halafu mnasema dini ya heshima
Sharia ya Kiislam ndiyo hukumu pekee inayompa fursa aliyeuwa kusamahewa na warithi.

Ukiona mtu kauliwa ujuwe warithi walikataa kumsamehe, walikataa Rudia na wakaamua auliwe. Kumbuka ni warithi hao wenye maamuzi anapokutikana mtu na hatia.

Tena nchi zingine zinafanya sharia inatakiwa hao warithi ndiyo watimize hiyo hukumu na siyo kama kuna muuaji kaajiriwa alike kisasi. Hii huoelea 99% kutoweza kutuliza na kuishia au kusamehe au kuchukia fidia.

Kwa upande mwengine sasa, Tazama sheria yetu. Muuajinakikutwa na hatia anauliwa Kwa kunyongwa. Hakuna an a ewes annum same he isipokuwa Rais pekee na 99% hayajawahi kusàmehewa.

Pia huku kwetu kuna "mob justice" kibaya anaweza kupita simu tu, watu kama wewe mkampiga na kumuua hata kufikia kumchoma moto. Na hakuna anaechukuliwa hatua yoyote. Thubutu uuwe mwizi nchi za sharia.

Usome Uislam kijana, ni mwema sana usije na mihemko tu ya chuki za kujazwa ujinga.
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
5,295
2,000
Tetea weee!!! ila kuchinja mtu hadharani kwa Upanga ni ukatili wa hali ya juu.
Tena wanahukumiwa kwa sharia za kiislam wala sio Warithi kama unavyotaka kupotosha umma.

Dini gani isiyojua kusamehe, yaani warithi wanataka mwenye mali afe warith mali zake??.
Halafu mnasema dini ya heshima
Kwani wanaowakata viungo Albino wakiwa hai ni wa dini gani? wanaoua vikongwe kwa imani za kishirikina ni wa dini gani? Israel na Marekani wanaua raia wasio na makosa utailaumu dini? Polisi weupe wa USA wanawapiga risasi na kuwaua weusi utasema ukristo ndio unaua? Kibwetere aliyewachoma moto waumini wake utaulaumu ukristo wote? Jitafakari na usiwe una comment kwa misingi ya chuki,chuki inakutesa mwisho wa siku utajikuta na vidonda vya tumbo bure!
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,323
2,000
Tetea weee!!! ila kuchinja mtu hadharani kwa Upanga ni ukatili wa hali ya juu.
Tena wanahukumiwa kwa sharia za kiislam wala sio Warithi kama unavyotaka kupotosha umma.

Dini gani isiyojua kusamehe, yaani warithi wanataka mwenye mali afe warith mali zake??.
Halafu mnasema dini ya heshima
Ni sharia ya Kiislam ndiyo iliyowapa warithi haki ya kusamehe. Soma kijana, usibishe tu kijinga kwa vitu usivyovielewa. Sitetei kitu, hapa nakupa darsa uuelewe Uislam. Nitakuwekea ushahidi wa hilo baadae kidogo.

Kwanza razama ukatili huu, kaiba tu huyo, prngine simu tu. Haki iko wapi hapo? Hii hufsnywa na watu kama wewe hapa kwenu.

Tahadhari jamani picha zinatisha...

Naona ni chuki tu imekujaa kuona Paul Pogba, mchezahi maarufu kaiona nuru na kujisalimisha kwa Allah.

Usichukie, usome Uislam unaweza kuwa upo kizani na nuru ipo mbele yako huioni. Wacha chuki za ujinga tu zisizo na sababu.
 
kubwa_Lao

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
931
1,000
Tetea weee!!! ila kuchinja mtu hadharani kwa Upanga ni ukatili wa hali ya juu.
Tena wanahukumiwa kwa sharia za kiislam wala sio Warithi kama unavyotaka kupotosha umma.

Dini gani isiyojua kusamehe, yaani warithi wanataka mwenye mali afe warith mali zake??.
Halafu mnasema dini ya heshima
Kadri unavyoichukia hii dini, ndivyo ambavyo utajitahidi kuisoma ili uweze kuikosoa.....
Kwa kuwa utazidi kuisoma basi hapo ndipo utakapozidi kuujua ukweli wa uislam.......

Na kadri ya utakavyozidi kuujua ukweli basi hapo ndipo utakapozidi kumpwekesha Mungu na kuujua ukubwa na uwezo wake.

Na kadri utakavyozidi kumpwekesha Mungu, ndivyo nuru na mwangaza wa uislam utakavyoingia katika moyo wako.

Na kwa kadri ya nuru na mwangaza utakavyozidi kuingia katika moyo wako basi ndivyo utakavyopupia kuingia katika dini ya Mwenyezi Mungu kwa kasi.

Jitahidi kuendelea kukosoa ili uingie ktk uislam
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
5,295
2,000
Ni sharia ya Kiislam ndiyo iliyowapa warithi haki ya kusamehe. Soma kijana, usibishe tu kijinga kwa vitu usivyovielewa. Sitetei kitu, hapa nakupa darsa uuelewe Uislam. Nitakuwekea ushahidi wa hilo baadae kidogo.

Kwanza razama ukatili huu, kaiba tu huyo, prngine simu tu. Haki iko wapi hapo? Hii hufsnywa na watu kama wewe hapa kwenu.

Tahadhari jamani picha zinatisha...

Naona ni chuki tu imekujaa kuona Paul Pogba, mchezahi maarufu kaiona nuru na kujisalimisha kwa Allah.

Usichukie, usome Uislam unaweza kuwa upo kizani na nuru ipo mbele yako huioni. Wacha chuki za ujinga tu zisizo na sababu.
Cha ajabu huu ukatili wa namna hii,wao hua hawauoni!!
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
7,925
2,000
Kadri unavyoichukia hii dini, ndivyo ambavyo utajitahidi kuisoma ili uweze kuikosoa.....
Kwa kuwa utazidi kuisoma basi hapo ndipo utakapozidi kuujua ukweli wa uislam.......

Na kadri ya utakavyozidi kuujua ukweli basi hapo ndipo utakapozidi kumpwekesha Mungu na kuujua ukubwa na uwezo wake.

Na kadri utakavyozidi kumpwekesha Mungu, ndivyo nuru na mwangaza wa uislam utakavyoingia katika moyo wako.

Na kwa kadri ya nuru na mwangaza utakavyozidi kuingia katika moyo wako basi ndivyo utakavyopupia kuingia katika dini ya Mwenyezi Mungu kwa kasi.

Jitahidi kuendelea kukosoa ili uingie ktk uislam
Over my dead body!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom