PICHA: Mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba akiwa Macca

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,052
2,000
Usipindue mada uhaini sio ugaidi mzee mama
Hata Mandela alihukumiwa kufungwa maisha kwa ugaidi huko kwao. Usisahau hilo.

Na chama chake ANC kikaitwa cha kigaidi na wazungu.

Naona na wewe umeingia kwenye mtego uleule wa kujazwa ujinga ukakujaa.
 

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
5,330
2,000
Mbona yeye hajanyolewa nywele na kubaki kipara?
Labda alipiga picha kabla hajamaliza ibada yote coz kukata nywele ni mwishoni na sio lazima iwe kipara,unaweza ukazipunguza tu nywele kiasi sio lazima ukate kipara japo wengi hupendelea kipara,hapo Pogba inawezekana kua kisha zipunguza nywele zake tayari.
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,320
2,000
Usipindue mada uhaini sio ugaidi mzee mama
Mada Pogba wewe ndiyo ukaleta mambo ya ugaidi, nami nakupa darsa tu kuwa hata Mandela aliitwa gaidi na akahukumiwa maisha?

Au huelewi kuwa gaidi kwa mmoja kwa mwengine ni mpigania Uhuru?

Ukaja ooh eti sheria za kuchinjana nikakuwekea mauaji ya kikatili hapa hapa Tanzania na watu wanatazama na hakuna anaechukuliwa hatua.

Unakuja na chuki za kijinga. Watu kama wewe ndiyo msiotaka kupeana elimu. Mbona kuna Wakristo wengi sana wanajadiliana na Waislam kistaarabu kabisa.

Ukitaka kuongelea ugaidi fungua mada tujadili. Usiongelee kubadili mada unapoona inakunyeeshea. Usigeanza kurusha madongo wakati mada ni very simple, Pogba kaenda hijja ndogo (umrah Makkah) inahusiana nini na ugaidi?
 

mwasipenjele

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
774
500
Sharia ya Kiislam ndiyo hukumu pekee inayompa fursa aliyeuwa kusamahewa na warithi.

Ukiona mtu kauliwa ujuwe warithi walikataa kumsamehe, walikataa fidia na wakaamua auliwe. Kumbuka ni warithi hao wenye maamuzi anapokutikana mtu na hatia.

Tena nchi zingine zinazofata sharia inatakiwa hao warithi ndiyo watimize hiyo hukumu na siyo kama kuna muuaji kaajiriwa alipe kisasi. Hii hupelekea 99% kutoweza kutimiza na kuishia au kusamehe au kuchukua fidia.

Kwa upande mwengine sasa, Tazama sheria yetu. Muuaji akikutwa na hatia anauliwa Kwa kunyongwa. Hakuna anaeweza kumsamehe isipokuwa Rais pekee na 99% hawajawahi kusàmehewa.

Pia huku kwetu kuna "mob justice" kibaka anaweza kupora simu tu, watu kama wewe mkampiga na kumuua hata kufikia kumchoma moto. Na hakuna anaechukuliwa hatua yoyote. Thubutu uuwe mwizi nchi za sharia.

Usome Uislam kijana, ni mwema sana usije na mihemko tu ya chuki za kujazwa ujinga.
Unaonesha mdin sana we Dada
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,052
2,000
Mada Pogba wewe ndiyo ukaleta mambo ya ugaidi, nami nakupa darsa tu kuwa hata Mandela aliitwa gaidi na akahukumiwa maisha?

Au huelewi kuwa gaidi kwa mmoja kwa mwengine ni mpigania Uhuru?

Ukaja ooh eti sheria za kuchinjana nikakuwekea mauaji ya kikatili hapa hapa Tanzania na watu wanatazama na hakuna anaechukuliwa hatua.

Unakuja na chuki za kijinga. Watu kama wewe ndiyo msiotaka kupeana elimu. Mbona kuna Wakristo wengi sana wanajadiliana na Waislam kistaarabu kabisa.

Ukitaka kuongelea ugaidi fungua mada tujadili. Usiongelee kubadili mada unapoona inakunyeeshea. Usigeanza kurusha madongo wakati mada ni very simple, Pogba kaenda hijja ndogo (umrah Makkah) inahusiana nini na ugaidi?
ukweli usemwe hadharani
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,320
2,000
ukweli usemwe hadharani
Sema ukweli wenye ushahidi siyo useme uongo au ujinga uliojazwa nao bila ushahidi halafu useme huo ndiyo eti ukweli.

Si umeona mimi nimekuonesha mauaji ya Tanzania barabarani hukumu mkononi . Ukatili na watu wanafurahi. Alihukumiwa na nani yule kuchomwa moto. Sasa wewe nioneshe Muislam akifanya hayo nchi yenye sharia za Kiislam.
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,320
2,000
Hujaona clip ya mashehe wamevaa kanvu wanacheza kishoga na wanatunzana hela?
Hata makasisi na mapadri wa Vatikano wanavaa kanzu na wengi wao kama si wote ni mashoga.

Usione kanzu ukafikiri wote wavaao kanzu ni Waislam.

Hata mkuu wa Mkoa wa Dar nimeshamuona na kanzu na kilemba utafikiri mwanazuoni wa Kiislam. Kumbe?
 

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
5,330
2,000
Nimekutajia vikundi vya kiislam vya kigaidi plus wale wasomali waliovamia kenya ni waislam
Kwahiyo kile kikundi cha kigaidi kinachoitwa Anti-baraka cha central Africa kinawakilisha ukristo? katika hii dunia unajua vikundi vya kigaidi ni hivyo tuu? hivyo vikundi ulivyovitaja vinawakilisha uislamu? unaijua sababu ya Al shabab kua na uadui na Kenya? ndio maana nakwambia kua unaendeshwa na misingi ya chuki ya udini "Islamophobia" Naona umekwepa kujibu hoja zangu kwenye post # 28
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom