Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

Hawa misukule wanachangishwa hela halafu makamanda watia mfukoni
Yaani kama ni biashara kweli DJ anaijua kwa namna anavyokomba hela za hawa misukule

Wewe huna huruma na watoto wetu hata kidogo,badala ya kuhoji mustakbali wa elemu ya watoto hawa inaporwa na wabinafsi na walevi wa madaraka wewe unaleta mzaha...pengine mfumo unakubeba,inauma sana hii!
 
How come wanafunzi wanalazimishwa kuacha masomo ili kumpokea kiongozi wa magamba. This is not fair to our kids.

Mkeshaji, sio hiyo tu - mimi ninafikiri baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi haitakiwi watoto ambao hawajafikia umri wa miaka 18 hususan walio katika shule za msingi na sekondari kushughulishwa katika siasa za vyama kwa njia yo yote ile. Sijui kama tumelikumbuka hili kuliingiza katika mapendekezo ya katiba mpya. Je, na CDM wakiamua nao kuanza ku-recruit chipukizi itakuwaje? Huo utamaduni ulikuwa muafaka enzi za chama kimoja kilichokuwa kimeshika hatamu lakini haupaswi kupewa nafasi katika zama hizi za vyama vingi.
 
Yaani binadamu anafunga safari kwenda kuhutubia watu 8....tehe tehe tehe!

Hahaha hahaha hahaha lione Hili lijangili kinana na mibuti yake kama mgambo...mikutano yao haina watu single ya video fake imekataa kuuzika.
 
Mimi sina maneno mengi, nataka muangalie picha hizi kisha mtakachokiona mkitafakari.

8.jpg

Kinana anawanunua wazee waliokuwa awanachama wa CHADEMA.
Weka mbali na Tembo anajua biashara sana huyu!


0

Hapa wazee wanafurahia mauzo ya kadi za CHADEMA.

Angalia nyumba kabisa ya picha hiyo......kuna nini?

Kama hautajali hii picha ni wapi Mkuu! Haya mambo ni vizuri tukajua sehemu husika ile Makamanda wafike huko kutoa elimu ya Uraia
.

Maana kwa sasa tunataka Mafao ya Kisheria kwa Wazee kama hawa (65yrs and above) bila kujali walikuwa wameajiriwa au la!
Chama hiki kinachodai cha wakulima na Wafanyakazi kimewasahau hawa wazee na kubwa mbaya ni kuwa Mchango wao kwa Nchi kupitia Kilimo na Ufugaji hautambuliwi na mwisho wananunuliwa kwa 10,000ts za msimu wa uchaguzi.
 
Hawa misukule wanachangishwa hela halafu makamanda watia mfukoni
Yaani kama ni biashara kweli DJ anaijua kwa namna anavyokomba hela za hawa misukule

Kuliko kuwavisha kijani ndio wapewe hongo vyama vyenye kuona mbali vinatetea wapewe mafao ya uzeeni.
Hii ni kuaibishana bora hata angewapa uchochoroni.
 
siasa si zimekatazwa mashuleni na vyuoni, au ni siasa za wapinzani tu

Hebu acha utani, Unadhani kinana asingefanya hivyo si angechoma mafuta bure!!!. Mkutano wenyewe umeona wazee hata hamsini hawafiki halafu hiyo ndio nadhani mkutano ambao kidogo unaweza hata ukasema Mheshimiwa alikuwa na ziara morogoro.
 
Tshirt zimeandikwa umoja wa vijana kutuzuga, wakati hao ni watoto.

weweeeeeee hujajua bado, Hebu tafuta definition ya mtoto, kijana na mzee iliyotolewa na serikali yetu. Halafu majibu siri yako.
 
Kinana mpumbavu kwa nini anawatumia watoto ambao hawajavunja ungo kumpigia saluti.
 
Ipo safari ndefu.
Hawa wahuni wameamua kutumia mbinu za kukaririsha.
Ili mtoto akikiwa awe kama Robot aka Mwigulu.
 
T-Shirt zinasomeka "Umoja wa vijana wa CCM" wakati hao ni watoto. Wanapeleka siasa mashuleni halafu wanawasingizia CDM. Halafu huko bungeni waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira anasema kuwa kuendesha siasa mashuleni ni uchafuzi wa mazingira.

Tafakari, chukua hatua
 
Hata huko Mtibwa Morogoro wamewafundisha vijana ukumbini na leo kwenye mkutano wa adhala wakapewa kadi na mipira miwili na jezi,ila mkutano wamefanya kwa dakika 20 tu. kinana anasema matatizo ya wakulima wa miwa na wafanyakazi anayajua,watu wakamwambia hata JK anayajua tangu 2005. Hakika wamepata haibu ya mwaka huko. Namuomba Nape kwakuwa alikuwapo mkutanoni na akipataga watu wengi anarusha post na picha hapa namtaka aweke picha ya mkutano wa mtibwa turiani morogoro wa leo. Chezea watu wakiamka weye, acha bana:A S-heart-2:
 
CCM haitaki kitumia akili.
Inatumia historia iliyokufa.
 
Hata huko Mtibwa Morogoro wamewafundisha vijana ukumbini na leo kwenye mkutano wa adhala wakapewa kadi na mipira miwili na jezi,ila mkutano wamefanya kwa dakika 20 tu. kinana anasema matatizo ya wakulima wa miwa na wafanyakazi anayajua,watu wakamwambia hata JK anayajua tangu 2005. Hakika wamepata haibu ya mwaka huko. Namuomba Nape kwakuwa alikuwapo mkutanoni na akipataga watu wengi anarusha post na picha hapa namtaka aweke picha ya mkutano wa mtibwa turiani morogoro wa leo. Chezea watu wakiamka weye, acha bana:A S-heart-2:

Kama hawana wapiga kura wa kuwahutubia sasa waliwezaje kushinda 2010?

Kama sasa hawana wapiga kura wakishinda serikali za mitaa maana yake wameiba.
 
nani bora huyu anaye msaidia bibi au nyie mnaochangisha wananchi kujenga nyumba binafsi?

au kumpa pesa dr slaa ili ziwe matumiza hawara yake alipokuwa mjaa mzito ili ziwasaidie kimaisha. Ama pesa za walala hoi waionayo cdm ndio mkombozi, zikitumiwa kununua malori second hand / mitumba ya bw mbowe kwa bei ya malri 4. Mbona hayo hatuyaoni kama ni ufisadi wa hali ta juu sana, na ni kufilisia kisiasa. Al least huyu bw kinana anawapa wananchi wanao zihitaji
 
mmmm hiyo ni hatari taifa lina kwenda wapi kugawa fedha jamani mungu tusaidie watu wameanza kununuliwa jamani hiyo ni taabu sana
 
Yaani Umaskini kweli Adui wa HAKI.... mwananchi umeteseka muda mrefu halafu unakubali kununulika KIRAHISI?
 
so what hapo?

We mzushi sasa hujaelewa nini hapo?? HAKUNA KUFANYA SIASA SHULENI!!! The hao WATOTO WAKIFELI MASOMO YAO CCM INAUNDA TUME?? Na wewe ulivyo kilaza unaona sawa tu!!
 
Back
Top Bottom